Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Ijumaa Iliyopita
Nilikuwa Arusha, nikaingia sehemu ya ibada ya Ijumaa kupata neema.
Nilipofika, nikakaribishwa na kukuta madada wazuri sana wakivuta shisha.
Niliumia sana moyoni, nikabaki kimya.
Leo niko Kibaha, nikiwa natembea na macho yangu nikakutana na dada wazuri kama sita, nao pia wameshikilia shisha na kupokezana kana kwamba ni chupa ya damu.
Imenisikitisha sana, sana.
Mungu atunusuru na kuwanusuru watoto wetu.