Halafu Shisha ya Arusha na Nairobi zina flavour ya bangi🤣🤣🤣Ijumaa Iliyopita
Nilikuwa Arusha, nikaingia sehemu ya ibada ya Ijumaa kupata neema.
Nilipofika, nikakaribishwa na kukuta madada wazuri sana wakivuta shisha.
Niliumia sana moyoni, nikabaki kimya.
Leo niko Kibaha, nikiwa natembea na macho yangu nikakutana na dada wazuri kama sita, nao pia wameshikilia shisha na kupokezana kana kwamba ni chupa ya damu.
Imenisikitisha sana, sana.
Mungu atunusuru na kuwanusuru watoto wetu.
Hiyo shisha wamei decorate tu hiyo ni bangiHalafu Shisha ya Arusha na Nairobi zina flavour ya bangi🤣🤣🤣
Hukupiga kidogo hiyo shisha ikuongezee vibe?Maana wewe akili zako huaminiki mpwa!Ijumaa Iliyopita
Nilikuwa Arusha, nikaingia sehemu ya ibada ya Ijumaa kupata neema.
Nilipofika, nikakaribishwa na kukuta madada wazuri sana wakivuta shisha.
Niliumia sana moyoni, nikabaki kimya.
Leo niko Kibaha, nikiwa natembea na macho yangu nikakutana na dada wazuri kama sita, nao pia wameshikilia shisha na kupokezana kana kwamba ni chupa ya damu.
Imenisikitisha sana, sana.
Mungu atunusuru na kuwanusuru watoto wetu.
Umesema sehemu ya ibada ya ijumaa umekuta wadada wanavuta shisha?Ijumaa Iliyopita
Nilikuwa Arusha, nikaingia sehemu ya ibada ya Ijumaa kupata neema.
Nilipofika, nikakaribishwa na kukuta madada wazuri sana wakivuta shisha.
Niliumia sana moyoni, nikabaki kimya.
Leo niko Kibaha, nikiwa natembea na macho yangu nikakutana na dada wazuri kama sita, nao pia wameshikilia shisha na kupokezana kana kwamba ni chupa ya damu.
Imenisikitisha sana, sana.
Mungu atunusuru na kuwanusuru watoto wetu.
Wadada wanaipenda sana...wanadai za Dsm ni soft sanaHiyo shisha wamei decorate tu hiyo ni bangi
mpwaaa, bora hao wavuta shisha , kuna wanao vuta bangi 😅😅... Demu kabla humjapiga ngoma, anakuambia anaenda msalanani dk kadhaa unasikia harufu ya jamaicaIjumaa Iliyopita
Nilikuwa Arusha, nikaingia sehemu ya ibada ya Ijumaa kupata neema.
Nilipofika, nikakaribishwa na kukuta madada wazuri sana wakivuta shisha.
Niliumia sana moyoni, nikabaki kimya.
Leo niko Kibaha, nikiwa natembea na macho yangu nikakutana na dada wazuri kama sita, nao pia wameshikilia shisha na kupokezana kana kwamba ni chupa ya damu.
Imenisikitisha sana, sana.
Mungu atunusuru na kuwanusuru watoto wetu.
Eti "madada wazuri" sema "malaya"🤣
Usituletee mabalaa weweJamhuri ya Muungano. Kazi iendelee.
Ingekuwa siyo kuogopa kuletewa summons na Person Msigwa tungekwambia kuhusu Mdada mmoja mwingine ambaye tunaambiwa zamani alikuwa anavuta shisha.
Au labda hata sasa anavuta shisha.
Inakuwaje anasema "sauti yangu imebadilika kidogo,hiyo ni kwa sababu hewa imeingia kwenye mapafu.?"