Shetani ameshindwa tena, Rose Muhando amepona

Eti baada ya maombezi,
Maombezi yenu ya kitapeli yaliishia kumdharilisha mdada wa watu na sifa zenu za kusakia tonge,
Dada kakimbilia hospitali kapona unaanza porojo
Nyoosha sentesi,sema baada ya maombi ya matapeli kushindwa Rose aponea hospitali,
Hii itafanya mbumbumbu wa imani na watapeliwa waelewe kwa nini wakatoliki wanaamini Mungu huponya kupitia dawa ndo maana wanajenga hospitali bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maoni yangu ni aache utapel madawa uzinzi na kubwa zaid aiombe msamaha familia yake aliyoitelekeza na atubu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asingewai hospital angeona cha mtema kuni, toka lini kelele zikawa dawa ?
Na wameua watu sana kwa kupuuza nguvu ya Mungu aliyoiweka ktk madawa na vyakula,dhambi ya uuaji itawaandama sana hawa jamaa,yapo mambo ya kuomba na yapo ya kujitatulia wenyewe,ndo maana Mungu alituwekea akili kubwa na kuamuru kutawala kila kitu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatumia sasa ipasavyo dawa za ARV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…