Sijawahi kuwaamini walokole sijui kwanini?
Sent using
Jamii Forums mobile app
Zamani walisema kuvaa Jens ni dhambi,wakawa wanavaa za vitambaa,wake zao wanavaa za malinda,
Siku hivi wanavaa hadi vimini tena kanisani,wanavaa milegezo mpaka hereni na kuweka curl wanaume wanaweka,
Zamani walisema hata kugusa chupa ya bia dhambi,
Siku hizi hadi unnga wanabwia,
Zamani walisema wakatoliki wanaabudu sanamu,
Siku hizi wanapamba na kuziheshimu picha za manabii mitume na wachungaji wao wanaziweka majumbani/kwenye magari eti zina upako na ulinzi,
Zamani walisema wanamtegemea Yesu tu,
Siku hizi wanauziwa maji na mafuta na wanayatumia badala ya Neno tu km walivyosema awali,
Zamani ilikuwa hawaskii miziki ya kidunia,
Siku hizi siyo kuiskia wanaipiga na kuicheza mpaka makanisani(viduku,reggae na ndombolo)
Ni meeengi ya kusema
Lkn kifupi hawa ndo walokole
Sent using
Jamii Forums mobile app