Shetani ameshindwa tena, Rose Muhando amepona

Shetani ameshindwa tena, Rose Muhando amepona

Walokole bhana!!
Kila kitu wanaamini Ni shetani.
Hata tunayoyafanya kwa utashi wetu tunaambiwa Ni shetani!!

Mlindeni aache kula unga.
Huwa wanarudia Tena huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani shetani ana chuki gani na Rose?
 
Sijawahi kuwaamini walokole sijui kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani walisema kuvaa Jens ni dhambi,wakawa wanavaa za vitambaa,wake zao wanavaa za malinda,
Siku hivi wanavaa hadi vimini tena kanisani,wanavaa milegezo mpaka hereni na kuweka curl wanaume wanaweka,
Zamani walisema hata kugusa chupa ya bia dhambi,
Siku hizi hadi unnga wanabwia,
Zamani walisema wakatoliki wanaabudu sanamu,
Siku hizi wanapamba na kuziheshimu picha za manabii mitume na wachungaji wao wanaziweka majumbani/kwenye magari eti zina upako na ulinzi,
Zamani walisema wanamtegemea Yesu tu,
Siku hizi wanauziwa maji na mafuta na wanayatumia badala ya Neno tu km walivyosema awali,
Zamani ilikuwa hawaskii miziki ya kidunia,
Siku hizi siyo kuiskia wanaipiga na kuicheza mpaka makanisani(viduku,reggae na ndombolo)
Ni meeengi ya kusema
Lkn kifupi hawa ndo walokole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kaimani fulani kanasema, Mgonjwa akiugua sana alafu akapona basi aidha ndugu wa karibu au yeye mwenyewe atalala tena mazima, Siku si nyingi utaleta uzi wa rambirambi kwa ajili ya pumzko lake la milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kaimani fulani kanasema, Mgonjwa akiugua sana alafu akapona basi aidha ndugu wa karibu au yeye mwenyewe atalala tena mazima, Siku si nyingi utaleta uzi wa rambirambi kwa ajili ya pumzko lake la milele

Sent using Jamii Forums mobile app
Cyo mbaya ila pengine hujafikiria kwamba huenda wakati analeta tena Uzi Wa rambirambi wewe hutouona. Hata mtunzi wa kalenda haijui kesho yake.
 
Ugonjwa huu auponi hivi hivi bali hupoozwa tu makali na dozi ya kila siku.
 
Back
Top Bottom