Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Nimehamia mtaa wa pili baada ya sinto fahamu iliyotokea mtaa wa kwanza ambapo mke wa mtu alinizoea sana mpaka watu wakahisi vinginevyo, kuepusha shari nimehamia mtaa wapili, huku nilipo hamia kwenye chumba cha upande wa kulia kuna subwoofer yamaana, upande wa kushoto subwoofer ya kuunga unga ila ni black beauty.
Shetani hana maana kabisa, kazi kuharibu maisha ya watu bila sababu za msingi, sasa hapa nisipo angalia si ntajikuta nalipa kodi za vyumba viwili au vitatu wakati mimi naishi chumba kimoja tu?
Shetani hebu kuwa serious basi, haya majaribu wapelekee memba matajiri wa jeiefu.