Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
YeahWw ni malaya and u like it,shetani anasoma tabia yako and kukupeleka kule upendako.
DaahYeah
Omba yasikukuteWw ni malaya and u like it,shetani anasoma tabia yako and kukupeleka kule upendako.
Daah "Ama kweli mahindi humuotea mtu asiye na meno"...Nimehamia mtaa wa pili baada ya sinto fahamu iliyotokea mtaa wa kwanza ambapo mke wa mtu alinizoea sana mpaka watu wakahisi vinginevyo, kuepusha shari nimehamia mtaa wapili, huku nilipo hamia kwenye chumba cha upande wa kulia kuna subwoofer yamaana, upande wa kushoto subwoofer ya kuunga unga ila ni black beauty.
Shetani hana maana kabisa, kazi kuharibu maisha ya watu bila sababu za msingi, sasa hapa nisipo angalia si ntajikuta nalipa kodi za vyumba viwili au vitatu wakati mimi naishi chumba kimoja tu?
Shetani hebu kuwa serious basi, haya majaribu wapelekee memba matajiri wa jeiefu.
DaahCha kushangaza kuna siku utatuma picha ya uume yenye vidonda na kuuliza tiba ya fungus....
Tatizo ukilikwepa haliwezi kuisha, komaa hapo hapo.Nimehamia mtaa wa pili baada ya sinto fahamu iliyotokea mtaa wa kwanza ambapo mke wa mtu alinizoea sana mpaka watu wakahisi vinginevyo, kuepusha shari nimehamia mtaa wapili, huku nilipo hamia kwenye chumba cha upande wa kulia kuna subwoofer yamaana, upande wa kushoto subwoofer ya kuunga unga ila ni black beauty.
Shetani hana maana kabisa, kazi kuharibu maisha ya watu bila sababu za msingi, sasa hapa nisipo angalia si ntajikuta nalipa kodi za vyumba viwili au vitatu wakati mimi naishi chumba kimoja tu?
Shetani hebu kuwa serious basi, haya majaribu wapelekee memba matajiri wa jeiefu.
unachekesha🤣🤣🤣Usimsingizie shetani, wewe mwenyewe ndiye shetani
" Stetani ananiandama bila Sababu
Sawa