SAWA,Tuombee na sisi tuwe na Nguvu hizo!Mapepo, mashetani na wachawi wananifahamu sana kuwa nimeokoka na sina mchezo na dhambi.
Wiki iliyopita, walijaribu kunishambulia kama walivyomfanyia Ayubu. Mdomo wangu ulivimba ghafla ukawa mwekundu.
Kama kawaida, kimbilio langu la kwanza ni Jina la Yesu. Niliukemea uvimbe huo kwa Jina la Yesu, ukatoweka baada ya muda mfupi. Jana, mashetani yalikuja tena. Yakaniletea uchovu mwingi na ulegevu mwili wote. Mwanzoni nilifikiri ni uchovu tu kwa sababu wikiendi nilifanya sana kazi. Hivyo nikajilaza kitandani nipumzike. Nilipumzika ya kutosha, uchovu haukuisha. Nikajua ni mashetani. Nikayakemea kwa Jina la Yesu. Within seconds, uchovu wote, kwishney!
Dah, kwa kweli ni raha sana kukaa ndani ya Yesu. Mashetani yananifahamu kuwa mimi ni mtoto wa Mungu. Nikiyaamuru yatoke yanakimbia mbio. Hii ni mojawapo ya faida za kuokoka.
Kama hujaokoka, ukikemea mapepo hayawezi kutoka, maana yanafahamu vizuri wewe ni nani na kwamba huna mamlaka ya kuyakemea. Na usipoangalia yanaweza hata kukujeruhi.
Matendo 19:15
Yule pepo mchafu akawajibu, akawaambia, Yesu namjua na Paulo namfahamu, lakini ninyi ni nani? Na yule mtu aliyepagawa na pepo mchafu akawarukia wawili, akawaweza, akawashinda, hata wakatoka mbio katika nyumba ile wakiwa uchi na kujeruhiwa.
samahan ivi kuokoka n nini?Mapepo, mashetani na wachawi wananifahamu sana kuwa nimeokoka na sina mchezo na dhambi.

Ukitaka kuwa na mamlaka ya kiroho juu ya mapepo, lazima uokoke na ukae ndani ya Yesu Kristo. Waliookoka wana mamlaka ya kufukuza mapepo kwa Jina la Yesu! Watu ambao hawajaokoka hawana mamlaka dhidi ya mashetani, kama ilivyokuwa kwa hao wana wa Skewa (Matendo 19:15-16).Matendo 19:15
Yule pepo mchafu akawajibu, akawaambia, Yesu namjua na Paulo namfahamu, lakini ninyi ni nani? Na yule mtu aliyepagawa na pepo mchafu akawarukia wawili, akawaweza, akawashinda, hata wakatoka mbio katika nyumba ile wakiwa uchi na kujeruhiwa.
Ni kweli shetani ni muongo, lakini anamjua Yesu, anamfahamu Paulo na mimi ananifahamu. Ndio sababu akija kwangu nikimkemea kwa Jina la Yesu anakimbia. Anajua kabisa nimepewa mamlaka ya kumfukuza.Shetani huwa ni muongo
Akisema anamjua fulani huenda mtego huo!
Bila samahan, soma kwa makini uzi huu👇, utajua maana ya kuokoka:samahan ivi kuokoka n nini?
Ni kweli shetani ni muongo, lakini anamjua Yesu, anamfahamu Paulo na mimi ananifahamu. Ndio sababu akija kwangu nikimkemea kwa Jina la Yesu anakimbia. Anajua kabisa nimepewa mamlaka ya kumfukuza.
Lk 9:1
Akawaita wale Thenashara, akawapa uwezo na mamlaka juu ya pepo wote na kuponya maradhi.
Kila mtu aliyeokoka ni mwanafunzi wa Yesu, hivyo amepewa mamlaka juu ya pepo wote na kuponya maradhi, kama hao Thenashara.
Uthibitisho huu hapa:Hakuna namna ya kuthibitisha kuwa anamjua Yesu. Maana kauli ya kinywa chake huwa ni uongo
Uthibitisho huu hapa:
Marko 1:23-24
‘Na palikuwa na mtu mwenye pepo mchafu ndani ya sinagogi lao, akapiga kelele, akisema, Ah! Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza? NAKUJUA WEWE NI NANI, MTAKATIFU WA MUNGU.’
Hiyo kauli ina uongo?
Sasa pepo amjue Yesu, shetani ndo ashindwe kumjua?
Halafu, kumbuka Yesu ni Mungu. Shetani na mapepo yake kabla hawajatupwa duniani walikuwa mbinguni wakimsifu Mungu. Hivyo wanamjua sana Yesu.
Kwahiyo pepo huwaingia wenye kutenda dhambi tu?Linaweza kurudi kama mtu aliyetolewa pepo ataendelea kutenda dhambi(Mathayo 12:43-45)
Mapepo/mashetani hayaingii tu kwa wenye dhambi. Hata wasiotenda dhambi wanaweza kuvamiwa au kuingiwa na mapepo kama wameacha "milango" wazi au wasipokuwa macho.Kwahiyo pepo huwaingia wenye kutenda dhambi tu?
Kwanza tujue pepo nani?Uthibitisho huu hapa: