Dini zimemfanya shetani awe kapu la kutupia lawama na dhambi zoooote,
Binadamu anaonekana kama hatendi kwa hiari, kila anachokosea kuna mkono wa shetani, kama mnyama asie na akili.
Mtu kazini kwa maamuzi na starehe yake lakini lawama atupiwe shetani, Shetani ndie aliekwambia uhonge, utongoze, ukalipie lodge, na kuzini ? ahh wapi,
Unaenda kuiba vya watu, shetani ndie abebe lawama kwamba akili yako ilikuwa haifanyi kazi wakati unaenda kuiba ? ahh wapi tupunguze lawama jamani, mwizi kapiga survey ya eneo, kapiga zoezi la pumzi kabla ya tukio, kaenda eneo la tukio na vifaa, kaiba, shetani analaumiwa vipi ?
Shetani ndie anakwambia uue ili kupata mali, udanganye, uue, n.k. this is too much, mnyonge mnyongeni ila mpeni haki yake, Hizi lawama kwa shetani zimezidi sasa, yani kawa wa kunyoshewa kidole kila mara.