MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake.
Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu.
Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai.
Kitabu cha shetani kitakuwa kitamu sana.. kikieleza kwa nini Mungu anayetajwa ana nguvu, hamuui yeye shetani mpaka leo.