Hawa Shatani na Mungu waandaliwe pambano wapande ulingoni wazichape tujue nani zaidi ili hizi drama zao ziishe
[/QUO
Anacho chakeVitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake.
Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu.
Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai.
Kitabu cha shetani kitakuwa kitamu sana.. kikieleza kwa nini Mungu anayetajwa ana nguvu, hamuui yeye shetani mpaka leo
Wanamuita muongo hajawahi danganya wanamwita muuaji hajawahi kuua... Ila upande wa pili asa ngoja nisiongeeVitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake.
Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu.
Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai.
Kitabu cha shetani kitakuwa kitamu sana.. kikieleza kwa nini Mungu anayetajwa ana nguvu, hamuui yeye shetani mpaka leo.