Shetani huwa anasali?

Amuombe nani na wakati ana uwezo wa kusababisha maafa yoyote? Dinia yote ipo mikononi mwake, nashangaa kwa nini Mungu kamuachia. Au huyu Mungu wa Israel hana uwezo?
 
Amuombe nani na wakati ana uwezo wa kusababisha maafa yoyote? Dinia yote ipo mikononi mwake, nashangaa kwa nini Mungu kamuachia. Au huyu Mungu wa Israel hana uwezo?
Alafu Wagombane Wao Kesi tushughulike Nayo Sisi Ambao Ugomvi Hautuhusu
 
Wewe huwa huioni mijamaa ya CCM inavyojaa nyumba za ibada\?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…