Shetani huyo

Shetani huyo

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Umekuwa single tokea mwezi wa kwanza mpaka wa 11 na umetafuta mpenzi hukubahatika kupata, cha ajabu mwezi wa 12 umefika tu gafla umepata mpenzi [emoji38][emoji38]buraza usikubali, shetani anataka kucheza na account yako ya bank niamini Mimi please [emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom