Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Niliwahi kupost mada kama hii miezi michache iliyopita. Leo ninaipost tena baada ya kufanya utafiti tena na tena.
Watu wengi wanadaiwa sio mchezo. Hata Mimi niliwahi kuvamiwa na roho ya madeni, madeni yanamsogeza mtu karibu na kifo, madeni huondoa amani katika familia.
Katika mipango yako ya maisha hakikisha usiruhusu madeni yasiyo na ulazima.
Fanya maombi kukataa madeni.
Wanawake hawana hisia katika mapenzi kwasababu ya roho ya madeni.
Familia zimekosa upendo na amani kwasababu ya madeni.