Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukiambiwa hayo magari yenyewe ni ya mikopo usikatae,,Rubbish. Kama unadaiwa ni wewe. Tembea mjini uone matajiri wanabadilisha magari kila siku
Kwahiyo hapo unasikilizia mchongo wa kukuingizia per diem sio ?Madeni hayana shida kama una matumaini kuna michongo mbeleni utaipata ila kama huna mpango wowote aisee noma sana..binafsi nina madeni ila kwa sasa tu mfumo wa serikali unazingua maana ni mwajiriwa siku hela zikiingia hakafu nipate kazi moja tu safari ya night kama 10 nilipwe per diem nzur hakika na clear yote at least nibaki na yake ya bank tu zio mikopo binafsi