Madeni hayana shida kama una matumaini kuna michongo mbeleni utaipata ila kama huna mpango wowote aisee noma sana..binafsi nina madeni ila kwa sasa tu mfumo wa serikali unazingua maana ni mwajiriwa siku hela zikiingia hakafu nipate kazi moja tu safari ya night kama 10 nilipwe per diem nzur hakika na clear yote at least nibaki na yake ya bank tu zio mikopo binafsi