April26
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 1,405
- 2,147
Wana JF kwema!
Kiufupi siku hizi wàpenzi wengi hukutana kupitia njia za shetani kuliko njia za muumba (sahihi).
Mfano; msichana anapenda Mali, pesa n.k, toka kwa kijana na kijana nae anapenda chura tuu basi mahusiano button ON.
Hizi ni tamaa sio mapenzi. Kama unawaza kuwa na mpenzi kwa kudhani unampenda kwa kuwa ana kitu fulani nje na hulka (behaviour) wewe ni agent wa shetani.
Mnaonana kishetani, mnapeana appointment kishetani, mnazini kishetani, mawasiliano yenu ni kishetani hakuña hata chembe ya hofu ya Mungu.
Mtaishia kuachana tena kishetani.
Uzi tayari.