Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Maneno ya mkosa adabu haya mbona upo hivyo....
Mkuu ushindi bora ni wa kuishinda nafsi yako mwenyewe...
Mnaonana kishetani, mnapeana appointment kishetani, mnazini kishetani, mawasiliano yenu ni kishetani hakuña hata chembe ya hofu ya Mungu.
Mkuu jazia uzi wako... Maelezo hayajatosheleza