Shetani pia hucheza nyimbo za injili

Shetani pia hucheza nyimbo za injili

Andazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
1,113
Reaction score
2,234
Akitokea malaika mmoja ambae pia ni mbwa mwitu mwenye vazi la kondoo akianzisha pambio basi hata mqshetani mwenye huimba na kucheza

Nachomaanisha ni hiki akitokea mwana JF kusema nina gari basi wote watakao comment ni kama vile wanamagari

Akitokea mtu akasema ukimwi upo wote watakao comment ni kama vile wote wazima

Tukisema punyeto mbaya wote watakao comment watapinga

Blowjob and related things ni mbaya wote watajofanya hawafanyagi

Yani nshort memba wa humu hutembea na biti
 
Tatizo unafki, pia ustaarabu kidogo

Huwezi andika tu 'napiga nyeto mara 7 kwa siku' au ' napenda kulamba nyuchi'

Watakushangaa

Hata mkosefu anaweza kushauri
 
Back
Top Bottom