Shetani ni Cheo - Title of anyone/anything that does evil.
Kama unataka kujua aliko Lucifer, malaika mkuu aliyeongoza uasi mbinguni, kwa mujibu wa kitabu cha Enock, amefungwa katika mbingu ya tano. (you can download it in play store)
Kwa mujibu wa Enoch, Mbingu zimegawayika katika levels 1-10.
level za chini wako malaika waangalizi wa wanadamu, the watchers- ambao ndiyo walioasi makazi hayo na wakaja duniani wakamingle na mabinti wa wanadamu (Mwanzo 6) on contract to exposing/teaching humans Technology, na the product of their relationship eith daughters of men walizaliwa majitu-wanefili in hebrew or Anunakis in aramaic.
mbingu ya tatu, ambayo hata Mtume Paul alionyeshwa ni paradisho.
according to the book of enoch (which can easily be downloaded in play store) those who were cast under the earth via the desert of Dudael (unknown place) ni captains of the watchers waliofundisha uovu mwingi kwa wanadamu baada ya kujitwalia wake/mabinti wa wanadamu, these are Azazel, Semyaza, baraqueel etc...ndiyo waliofundisha kuhusu vita, silaha, uchawi, unajimu etc hasa Azazeli ambaya hata anatajwa katika Biblia, Mambo ya Walawi 16:1-8
To clean their mess Mungu aliwafunga akawatupa chini shimoni, na ili kuua the giants-nephilims or anunakis he brough gharika wakati wa Nuhu. but they pleaded so much to God via Enoch na Mungu akasema the spirits of giants can not enter heaven, zitabaki kuwa roho zinazorandaranda na kuishi katika milima na maji hapa duniani. The spirits of giants became evil spirits (Enoch chapter 9)