jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Au kovakuna polisi mmoja hivi alikuaga kiongozi mkubwa tu hapa bongo nae kafanana nae kinoma
hahah huyo huyoAu kova
Kwa hiyo!? Usitake kuvunja ndoa za watu.kuna polisi mmoja hivi alikuaga kiongozi mkubwa tu hapa bongo nae kafanana nae kinoma
Na Mimi huwa naona msechu kafanana na mwanasheria wa chadema ni mbunge wa singidahahah huyo huyo
Kwa hiyo!? Usitake kuvunja ndoa za watu.
Na Mimi huwa naona msechu kafanana na mwanasheria wa chadema ni mbunge wa singida
Hahahahaha uwiii ulijuajeau Lissu!
na mimi naona kama wewe,wamefananaNa Mimi huwa naona msechu kafanana na mwanasheria wa chadema ni mbunge wa singida
Watu wawili wawili dunianina mimi naona kama wewe,wamefanana
Sio kuvunja ndoa za watu wanafanana kweli kwani kumfananisha mtu dhambi ni ndoa ngapi zimevunjika kisa kikiwa watoto wa nje kufananishwa na member wa familia???Kwa hiyo!? Usitake kuvunja ndoa za watu.
Mkuu nimejukita nacheka peke angu ILA KWELkuna polisi mmoja hivi alikuaga kiongozi mkubwa tu hapa bongo nae kafanana nae kinoma