jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Leo wakiwa mawenzi sekondari iliyopo Moshi mjini shetta amekutana na msichana ambae anadai kuwa wanafanana na kupanda stejini na kumkumbatia shetta
Baada ya kitendo kile shetta alifurahishwa na mapenzi ya mwanafunzi Huyo na kumzawadia laki moja na nusu tasilimu
Baada ya kitendo kile shetta alifurahishwa na mapenzi ya mwanafunzi Huyo na kumzawadia laki moja na nusu tasilimu