Sio kweliHii inaitwa Ubaguzi wa Habari.
Habari imelenga watu flani wenye MB zao.
Kasema ni u bize tu unawasababisha wasiwe karibu,ila wapo poa tu na wanawasiliana.Hii inaitwa Ubaguzi wa Habari.
Habari imelenga watu flani wenye MB zao.
[emoji3][emoji3]siyo bando kweli?Muwe mnaandika tu maneno wengne hatunaga huo mda wa kuwasikiliza hao wabana sauti
Haya mambo waache wanadaresalama mkuu!sheta ndo nani?
aisee imeshuka sana. hata bei ya mchele wa kamsamba imeshuka na mwake huu tumepata mavuno mengii. binafsi nimepata gunia za mpunga kama 500 tu, mahindi 270. muda mwingi niko kazini nikipata muda naibia naenda kukagua shambani kinachoendelea ndio maana majina ya kashata sijui sheta sijui daimondi mnashinda mkibishana nyinyi wanaume wa darisalamu, wakati mfukoni hamna kitu, njaa zinawauma mnaishia kwenda kula kashata, kababu na ships mnalala. mkiamka mnashangaa magorofa na hotel ambazo sisi tukija huko tunalala,kumbe mchana mnapiga dash kwa maji jioni chips...kutwa mnaongelea maisha ya sheta na daimondi.Haya mambo waache wanadaresalama mkuu!
Vipi huko rukwa nasikia bei ya mahindi imeshuka kweli! Hongereni kwa mavuno.....
[emoji1][emoji1][emoji1]jamii forum sihamiHaya mambo waache wanadaresalama mkuu!
Vipi huko rukwa nasikia bei ya mahindi imeshuka kweli! Hongereni kwa mavuno.....
Duh!! We jamaa umeulizwaaa????aisee imeshuka sana. hata bei ya mchele wa kamsamba imeshuka na mwake huu tumepata mavuno mengii. binafsi nimepata gunia za mpunga kama 500 tu, mahindi 270. muda mwingi niko kazini nikipata muda naibia naenda kukagua shambani kinachoendelea ndio maana majina ya kashata sijui sheta sijui daimondi mnashinda mkibishana nyinyi wanaume wa darisalamu, wakati mfukoni hamna kitu, njaa zinawauma mnaishia kwenda kula kashata, kababu na ships mnalala. mkiamka mnashangaa magorofa na hotel ambazo sisi tukija huko tunalala,kumbe mchana mnapiga dash kwa maji jioni chips...kutwa mnaongelea maisha ya sheta na daimondi.
Hahahawatu hatuna mb mkuu.......jitahd kutoa bs hata summary bhanaaa
Huh! Bando linataka kukata??Hii inaitwa Ubaguzi wa Habari.
Habari imelenga watu flani wenye MB zao.