Shetta na sababu za kutokuwa karibu na Diamond kwa sasa

aisee imeshuka sana. hata bei ya mchele wa kamsamba imeshuka na mwake huu tumepata mavuno mengii. binafsi nimepata gunia za mpunga kama 500 tu, mahindi 270. muda mwingi niko kazini nikipata muda naibia naenda kukagua shambani kinachoendelea ndio maana majina ya kashata sijui sheta sijui daimondi mnashinda mkibishana nyinyi wanaume wa darisalamu, wakati mfukoni hamna kitu, njaa zinawauma mnaishia kwenda kula kashata, kababu na ships mnalala. mkiamka mnashangaa magorofa na hotel ambazo sisi tukija huko tunalala,kumbe mchana mnapiga dash kwa maji jioni chips...kutwa mnaongelea maisha ya sheta na daimondi.
Ahahaha.... Umetisha mazeee
 
povu
 
Diamond Mtu Mbaya sana..

Alikula Mke wa Shettah..
Shettah akasikia alaf akaenda kumuuliza kiupole unategemea Diamond ajibu Ndiyo.?
Diamond akakataa..

Lakini Shettah alikuta mesej kwenye simu ya wife wake hvyo alikuwa na uhakika..

Alivyo Bwege hajamuacha huyo mwanamke..
Inawezekana Mpka sasa Diamond anaendelea kumla
Mke alikuwa malaya ifm
 
wanaume wa dsm ndo zenu, kujadili mambo ya kitoto ya shetta sijui daimond sijui zari, huku mkila ubuyu wa bagamoyo mkishushia na ice cream, mkimaliza hapo ni chips kwenda mbele. ndo maana mmelegea.
 
aisee imeshuka sana. hata bei ya mchele wa kamsamba imeshuka na mwake huu tumepata mavuno mengii. binafsi nimepata gunia za mpunga kama 500 tu, mahindi 270. muda mwingi niko kazini nikipata muda naibia naenda kukagua shambani kinachoendelea ndio maana majina ya kashata sijui sheta sijui daimondi mnashinda mkibishana nyinyi wanaume wa darisalamu, wakati mfukoni hamna kitu, njaa zinawauma mnaishia kwenda kula kashata, kababu na ships mnalala. mkiamka mnashangaa magorofa na hotel ambazo sisi tukija huko tunalala,kumbe mchana mnapiga dash kwa maji jioni chips...kutwa mnaongelea maisha ya sheta na daimondi.
Aisee we jamaa mnafiki saaana,umetupiga mawe ya uhakika....by the way hao jamaa unawajua hacha wenge.
 
Back
Top Bottom