Kumbe alihama kibondo?!Haya mambo waache wanadaresalama mkuu!
Vipi huko rukwa nasikia bei ya mahindi imeshuka kweli! Hongereni kwa mavuno.....
Ahahaha.... Umetisha mazeeeaisee imeshuka sana. hata bei ya mchele wa kamsamba imeshuka na mwake huu tumepata mavuno mengii. binafsi nimepata gunia za mpunga kama 500 tu, mahindi 270. muda mwingi niko kazini nikipata muda naibia naenda kukagua shambani kinachoendelea ndio maana majina ya kashata sijui sheta sijui daimondi mnashinda mkibishana nyinyi wanaume wa darisalamu, wakati mfukoni hamna kitu, njaa zinawauma mnaishia kwenda kula kashata, kababu na ships mnalala. mkiamka mnashangaa magorofa na hotel ambazo sisi tukija huko tunalala,kumbe mchana mnapiga dash kwa maji jioni chips...kutwa mnaongelea maisha ya sheta na daimondi.
Hata mie sipend kabisa mb zenyew mpk niombe hela kwa shemeji aaaaaaaaagggrrrrrHii inaitwa Ubaguzi wa Habari.
Habari imelenga watu flani wenye MB zao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh!! We jamaa umeulizwaaa????
povuaisee imeshuka sana. hata bei ya mchele wa kamsamba imeshuka na mwake huu tumepata mavuno mengii. binafsi nimepata gunia za mpunga kama 500 tu, mahindi 270. muda mwingi niko kazini nikipata muda naibia naenda kukagua shambani kinachoendelea ndio maana majina ya kashata sijui sheta sijui daimondi mnashinda mkibishana nyinyi wanaume wa darisalamu, wakati mfukoni hamna kitu, njaa zinawauma mnaishia kwenda kula kashata, kababu na ships mnalala. mkiamka mnashangaa magorofa na hotel ambazo sisi tukija huko tunalala,kumbe mchana mnapiga dash kwa maji jioni chips...kutwa mnaongelea maisha ya sheta na daimondi.
Mke alikuwa malaya ifmDiamond Mtu Mbaya sana..
Alikula Mke wa Shettah..
Shettah akasikia alaf akaenda kumuuliza kiupole unategemea Diamond ajibu Ndiyo.?
Diamond akakataa..
Lakini Shettah alikuta mesej kwenye simu ya wife wake hvyo alikuwa na uhakika..
Alivyo Bwege hajamuacha huyo mwanamke..
Inawezekana Mpka sasa Diamond anaendelea kumla
Fafanua Zaidi Mkuu..Mke alikuwa malaya ifm
Mufti mwezi mtukufu huu....usitamani kisicho Chako.Huyu kijana yule mke wake yuko vizuri huwa najikuta namtolea sana macho.
wanaume wa dsm ndo zenu, kujadili mambo ya kitoto ya shetta sijui daimond sijui zari, huku mkila ubuyu wa bagamoyo mkishushia na ice cream, mkimaliza hapo ni chips kwenda mbele. ndo maana mmelegea.povu
sheta ndo nani?
Hii inaitwa Ubaguzi wa Habari.
Habari imelenga watu flani wenye MB zao.
Aisee we jamaa mnafiki saaana,umetupiga mawe ya uhakika....by the way hao jamaa unawajua hacha wenge.aisee imeshuka sana. hata bei ya mchele wa kamsamba imeshuka na mwake huu tumepata mavuno mengii. binafsi nimepata gunia za mpunga kama 500 tu, mahindi 270. muda mwingi niko kazini nikipata muda naibia naenda kukagua shambani kinachoendelea ndio maana majina ya kashata sijui sheta sijui daimondi mnashinda mkibishana nyinyi wanaume wa darisalamu, wakati mfukoni hamna kitu, njaa zinawauma mnaishia kwenda kula kashata, kababu na ships mnalala. mkiamka mnashangaa magorofa na hotel ambazo sisi tukija huko tunalala,kumbe mchana mnapiga dash kwa maji jioni chips...kutwa mnaongelea maisha ya sheta na daimondi.
Mkuu ina maana umeshindwa kujaza?watu hatuna mb mkuu.......jitahd kutoa bs hata summary bhanaaa