Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mpango huu maana nawaonaga watoto wazuri pale japo watu wanawa diss
sawa nimekupataWazuri wa muonekano tu.
Kichwani hamna kitu.
Wahuni nao hebu Mods tuondoleeni huu upuuzi hapa. hakuna muhuni mwenzio hapa.
Huu Utawala siyo wa Muhuni mwenzenu ni wa Magufuli.
Ila sio vibaya ni chuo cha BIASHARA kile ina tegemea ni biashara gani iko akilini mwake.Pole sana mkuu, umewekeza CBE nini?