Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Unaitwa Basi uje Kariakoo...wimbo wa Abby Skills!!
Wacha kiba apendwe ww coz hana mpinzani kwa ss
Hahahaaaa hii dunia ina vituko yaani shetta nae anazuga yuko juu kiasi cha kujifananisha na alikiba? Sasa shetta anafanya nini kikubwa mpaka adhani alikiba anahitaji kufanya nae collabo! Shetta hajawahi kuimba wimbo wake mwenyewe anapenda kubebwa tu
Mungu anisamehe haka katoto kasheta sio chaguo langu kbs
heee!!??? hana mpinzani kwa sasa???? mbutananga, hivi kumbe watu dizaini yako bado mpoo???? ngachokaa.
Mashabiki wa Kiba siku hizi wamekuwa kama mashabiki wa UKAWA kule jukwaa la siasa...
Haaa tupooo!!akajinyonge kwa bazoka....neno kuntuuuu....tupooooooooooooooooooooo
tumejaa tele kama pishi la mchele!!!
utake ustake habari ndo hiyooooo!!!
Dteam kibaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hutaki tafuta jinyonge kwa mlenda au kacheze mnanda tandale!!!
Na kwa maajabu ya wana-JF, mtu anaweza kutoka povu na ku-comment kwa kusoma heading peke yake bila kusoma habari yenyewe... utafikiri wanafanya mashindano ya atakayekuwa wa kwanza ku-post!
Ninavyofahamu mimi hiyo collabo ni kizungu kwahiyo issue ni kutofahamu kizungu na hakuna uhusiano na ki-Musoma!
Duh... kwahiyo kweli enh kwamba watu hawajasoma? Come on, tell me you're not the one... yaani thread kutoka kwa warumi uanze ku-comment kwa kuangalia heading tu!!!?Heading ndo hubeba habari nzima mkuu, kukosea ku-draft heading ni sawa na kukosea kujenga msingi wa nyumba ambapo matokeo yake nyumba hukosa uimara so aliefanya makosa hapa ni huyu alieanzisha huu uzi and not wachangiaji u know.
Maajabu haya... nini kimekufanya uje juu hapo?!We nae hujitambui kabisaaaa nipishe mie kwendraaaaaaa....
Haaa tupooo!!akajinyonge kwa bazoka....neno kuntuuuu....
tennaaaa
yani thread ya kiba watu povu linawamwagika km wamefumania wapenzi wao na mahoese girl vile
vihedemswedeee vimewajaaaaa
wataisoma kaniki japo haina maandishia
mi sheta nilikua nampenda ila leo kanikrra
japo alikua anasafiria nyota za watu
nazDaz hata kama kweli alisema, kwani dhambiii? kwani ni lazima kila mtu afanye kazi na kiba?? tatizo la hawa team kiba wana inferiority complex, hawajiamini hata kidogo. na dawa hakuna sasa, lazima BP iwaparalyzeNa kwa maajabu ya wana-JF, mtu anaweza kutoka povu na ku-comment kwa kusoma heading peke yake bila kusoma habari yenyewe... utafikiri wanafanya mashindano ya atakayekuwa wa kwanza ku-post!
Ahaaaaa, wapi... si kosa hata kidogo! Awe amesema au hakusema coz' Shetta ndie anaeufahamu vizuri muziki wake na ndie anaefahamu nani anafaa kwa staili yake! Nakumbuka kitambo hivi, kulikuwa na mshikaji anataka kuingia studio kwa mara ya kwanza... badala ya kumsikiliza, tukaona Dully ndo angesimama vizuri zaidi kwenye chorus... issue ilikuwa ni ama iwe Dully au Juma Nature... kwetu haikuwa taabu kumpata Nature lakini issue ilikuwa kumpata Dully! Hata tulivyoenda studio na kumsikilizisha Roy, nae akatuunga mkono kwamba Dully ndo angesimama vizuri zaidi kwenye chorus kuliko Juma Nature (tuliangalia staili ya Nature, Dully na mwenye ngoma yake) na wakati ule Juma Nature alikuwa kwenye peak (enzi za Juma Nature na Sinta). Kwa bahati mbaya, as anticipated, tukamkosa Dully na hivyo kulazmika ku-feature na Juma Nature!!! Sasa ingekuwa kwa wapwa hapa, bila shaka wangekuja juu... kwani huyo Juma Nature umesikia anataka kufanya featuring na huyo mbwa wenu.... ahhh... wapi na wapi; watu wanaangalia chemistry, that's it! Si kwamba mtu anavyosema siwezi kufanya na fulani manake huyo fulani ni mbaya na yule anayefanya nae ndo mzuri kuliko wote!nazDaz hata kama kweli alisema, kwani dhambiii? kwani ni lazima kila mtu afanye kazi na kiba?? tatizo la hawa team kiba wana inferiority complex, hawajiamini hata kidogo. na dawa hakuna sasa, lazima BP iwaparalyze
sheta hata midomo wamefanana na diamond,asingesikika kwenye tasnia ya mziki angekaa hata wiki 3 bila kazi,mziki anaforce kwa vile hata njia nyingine ya kuipatia familia msosi hana,ila hana kipya asizingue na asimzungumzie alikiba maana kiba anaweza kaa hata mwaka akirudi anafunika wote.
tennaaaa
yani thread ya kiba watu povu linawamwagika km wamefumania wapenzi wao na mahoese girl vile
vihedemswedeee vimewajaaaaa
wataisoma kaniki japo haina maandishia
mkuu wa kitengo cha kupambana na Ebola huko Liberia