Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Unaitwa Basi uje Kariakoo...wimbo wa Abby Skills!!

huo huo mzurije alafu?? ninao mpaka kwa pc yangu, sasa misago alitaka nini tena? mwenye access nae embu muulizeni, sababu this is pure uchonganishi.
 
Hahahaaaa hii dunia ina vituko yaani shetta nae anazuga yuko juu kiasi cha kujifananisha na alikiba? Sasa shetta anafanya nini kikubwa mpaka adhani alikiba anahitaji kufanya nae collabo! Shetta hajawahi kuimba wimbo wake mwenyewe anapenda kubebwa tu

kajifananishaje??? vipi kuhusu aliyemuuliza sheta habari za kiba umemwacha wapi???
 
heee!!??? hana mpinzani kwa sasa???? mbutananga, hivi kumbe watu dizaini yako bado mpoo???? ngachokaa.

tupooooooooooooooooooooo
tumejaa tele kama pishi la mchele!!!
utake ustake habari ndo hiyooooo!!!
team kibaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hutaki tafuta jinyonge kwa mlenda au kacheze mnanda tandale!!!
 
tupooooooooooooooooooooo
tumejaa tele kama pishi la mchele!!!
utake ustake habari ndo hiyooooo!!!
Dteam kibaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hutaki tafuta jinyonge kwa mlenda au kacheze mnanda tandale!!!
Haaa tupooo!!akajinyonge kwa bazoka....neno kuntuuuu....
 
Na kwa maajabu ya wana-JF, mtu anaweza kutoka povu na ku-comment kwa kusoma heading peke yake bila kusoma habari yenyewe... utafikiri wanafanya mashindano ya atakayekuwa wa kwanza ku-post!

Heading ndo hubeba habari nzima mkuu, kukosea ku-draft heading ni sawa na kukosea kujenga msingi wa nyumba ambapo matokeo yake nyumba hukosa uimara so aliefanya makosa hapa ni huyu alieanzisha huu uzi and not wachangiaji u know.
 
Duh... kwahiyo kweli enh kwamba watu hawajasoma? Come on, tell me you're not the one... yaani thread kutoka kwa warumi uanze ku-comment kwa kuangalia heading tu!!!?
 
Last edited by a moderator:
tennaaaa
yani thread ya kiba watu povu linawamwagika km wamefumania wapenzi wao na mahoese girl vile
vihedemswedeee vimewajaaaaa
wataisoma kaniki japo haina maandishia

WRONG huu uzi si wa kiba ni wa sheta nyie mnaojiita mashabiki wa kiba ndio mapovu yanawatoka kisa sheta sema hafikirii kufanya collabo na kiba wala msanii yoyote wa tz kwa sasa kwani anakollabo nyingi. mnaanza kutunga uongo wenu mwiiingi ili tu mpate sababu ya kumstress sheta.
 
mi sheta nilikua nampenda ila leo kanikrra
japo alikua anasafiria nyota za watu

umemchukia kwa kilichoandikwa hapa kwenye huu uzi ua ulimsikia akisema. okey tufanye ni kweli amesema kuna tatizo??? so kwa vile kiba anajua ndio kila mtu amshobokee??? ndio kiba ni mkubwa msanii mdogo akisema hana mpango wa kufanya nae kazi ni dhambi???? commmon guys acheni ushabiki maandazi, mpaka mnaonekana limbukeni sasa.
 
Na kwa maajabu ya wana-JF, mtu anaweza kutoka povu na ku-comment kwa kusoma heading peke yake bila kusoma habari yenyewe... utafikiri wanafanya mashindano ya atakayekuwa wa kwanza ku-post!
nazDaz hata kama kweli alisema, kwani dhambiii? kwani ni lazima kila mtu afanye kazi na kiba?? tatizo la hawa team kiba wana inferiority complex, hawajiamini hata kidogo. na dawa hakuna sasa, lazima BP iwaparalyze
 
Last edited by a moderator:
nazDaz hata kama kweli alisema, kwani dhambiii? kwani ni lazima kila mtu afanye kazi na kiba?? tatizo la hawa team kiba wana inferiority complex, hawajiamini hata kidogo. na dawa hakuna sasa, lazima BP iwaparalyze
Ahaaaaa, wapi... si kosa hata kidogo! Awe amesema au hakusema coz' Shetta ndie anaeufahamu vizuri muziki wake na ndie anaefahamu nani anafaa kwa staili yake! Nakumbuka kitambo hivi, kulikuwa na mshikaji anataka kuingia studio kwa mara ya kwanza... badala ya kumsikiliza, tukaona Dully ndo angesimama vizuri zaidi kwenye chorus... issue ilikuwa ni ama iwe Dully au Juma Nature... kwetu haikuwa taabu kumpata Nature lakini issue ilikuwa kumpata Dully! Hata tulivyoenda studio na kumsikilizisha Roy, nae akatuunga mkono kwamba Dully ndo angesimama vizuri zaidi kwenye chorus kuliko Juma Nature (tuliangalia staili ya Nature, Dully na mwenye ngoma yake) na wakati ule Juma Nature alikuwa kwenye peak (enzi za Juma Nature na Sinta). Kwa bahati mbaya, as anticipated, tukamkosa Dully na hivyo kulazmika ku-feature na Juma Nature!!! Sasa ingekuwa kwa wapwa hapa, bila shaka wangekuja juu... kwani huyo Juma Nature umesikia anataka kufanya featuring na huyo mbwa wenu.... ahhh... wapi na wapi; watu wanaangalia chemistry, that's it! Si kwamba mtu anavyosema siwezi kufanya na fulani manake huyo fulani ni mbaya na yule anayefanya nae ndo mzuri kuliko wote!
 
sheta hata midomo wamefanana na diamond,asingesikika kwenye tasnia ya mziki angekaa hata wiki 3 bila kazi,mziki anaforce kwa vile hata njia nyingine ya kuipatia familia msosi hana,ila hana kipya asizingue na asimzungumzie alikiba maana kiba anaweza kaa hata mwaka akirudi anafunika wote.

Umesema yote charity begins at home
 
tennaaaa
yani thread ya kiba watu povu linawamwagika km wamefumania wapenzi wao na mahoese girl vile
vihedemswedeee vimewajaaaaa
wataisoma kaniki japo haina maandishia

Ha ha ha ukiona hivo hawana raha na wengine wengine midume mizima inapaniki wewe kisa uzi wa mwingine loh
 
Back
Top Bottom