bint_shaaban
Member
- Sep 27, 2014
- 87
- 47
who the hell sheta is...?!!
even aly hana time!!
km we msanii hasa toa ht single moja peke yake ikisimama mi nahama dar nahamia kigoma kule inakoenda mv liemba
Buahahahaha.... Aweee this hilarious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
who the hell sheta is...?!!
even aly hana time!!
km we msanii hasa toa ht single moja peke yake ikisimama mi nahama dar nahamia kigoma kule inakoenda mv liemba
Kweli nimezeeka hizo nyimbo hata sizijui
Hahahahah anapiga nao picha huku kaminya midomo????
Yaani nisivyompenda na hii kauli tena....dah kanichefua kwelikweli
ana mke mwingine pale kino anaitwa Danny mtoto wa mama
Mashabiki wa Kiba siku hizi wamekuwa kama mashabiki wa UKAWA kule jukwaa la siasa...
mimi nimemmind muulizaji, alafu mbona kuna wimbo sheta kafanya na kiba na sijui nani yule tena mzuri tu misago ye anataka nini tena??
Kwanza uyo sheta mwenyewe hana hadhi ya kufanya kazi na mfalme aende zake ukoKwani kuna ulazima gani wa kufanya kazi na Ali Kiba? Anyway, hata Ali Kiba nadhani hana mpango wa kufanya kazi na Shetta
Kwani huyo kiba siku hizi kawa mlemavu? Yaani eti kila mtu lazima awe upande wake!!! Ukiwa na mawazo tofauti naye basi wajiwa juu!! Mbona wanampa huruma asizohitaji huyu kiba? Anaonewa huruma kama mlemavu wa ngozi hahaaa! Kiba kataa kuwa na mashabiki wasiotaka upate challenges! Kimbia kabisaaa!
hujazeeka ila ni ngumu kuzijua kwa sababu wanamfunika anaowashirikisha ye peke ake hawezi ht kuimba chorus
Nyie watu kwa kupindisha maneno hamjambo... wapi katika hayo maelezo Shetta amejiona yupo juu na kujifananisha na Ali Kiba? Wapi amesema Ali Kiba anahitaji kufanya kolabo na Shetta?Hahahaaaa hii dunia ina vituko yaani shetta nae anazuga yuko juu kiasi cha kujifananisha na alikiba? Sasa shetta anafanya nini kikubwa mpaka adhani alikiba anahitaji kufanya nae collabo! Shetta hajawahi kuimba wimbo wake mwenyewe anapenda kubebwa tu
sheta anatembelea nyota za watu
anategemea collabo ndo ahit
kuthibisha hilo ndo mana hajawàh toa wimbo km solo artist
Tena wanavyopenda kukopa bifu basi... mbaya zaidi wengine wanadhani wapo karibu zaidi na hao wasanii kuliko walivyo karibu wasanii kwa wasanii wenyewe! Halafu hawa wasanii wengi wao ni dugu moja kutoka Kigoma... wengine wanaoshabikia bifu utashangaa kuona ni Wapogoro kutoka Mtimbila na Malinyi na wengine Wandendeule kutoka Namtumbo... sasa cjui hawataona aibu cku wenyewe wakishapatana!! Waswahili walipata kusema: "ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime!" Team Wema walijifanya kumtolea uvivu Diamond matokeo yake wakajikuta wanashuhuliwa wenyewe na huyo huyo waliekuwa wanampigania!mi nakereka sana watanzania wanapenda kuchonganisha wasamii kwenye social networks. mi huwa naangalia mambo watu wayoandika kuhusu alikiba na ' domo' nashangaa sana kuna watu wanataman hata wapigane, hata waanahabari jinsi tu wanavyo wahoji unajua ni unafiki na uchonganishi