Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Na kwann wamuulize kufanya kazi na ali kiba? Kwann specifically Kiba? Utaona ni Muendelezo wa majungu tuu... Na Ujinga Mwingi....!!! Dogo kajibu Poa, ila Mbwembwe nyingi... Mara international artists... Bongo tunashida kila Idara...

"Bonge la Star, Bonge La Njaa" alisema Fid Q.
Sure... dogo katumia busara sana kumjibu manake Misago kauliza swali la kichonganishi... eti "Unampango wa kufanya wimbo wa Ali Kiba"... ndo kama ulivyohoji... why Kiba... huyu jamaa kauliza makusudi kwavile anafahamu Shetta alishafanya kazi na Diamond kama mara 2 hivi... lakini kwa busara dogo kajibu hana mpango wa kufanya kazi na Kiba wala msanii mwingine yeyote yule hapa TZ... ajabu watu wanapindua--- yaani mtu hata kama hana mpango wa kufanya kazi na Kiba, kwa ajili ya kufurahisha timu Kiba basi anapaswa kusema "nitafanya kazi nae mwezi ujao...." aaaaargh, maajabu sana haya!
 
Kazi yake kutaja mimi ndio baba kaira niniii nyokooo

Ha ha ha haaaa... Wabongo bhana. Mnajifanya mnamchukia wakat kutwa vinywan hamuishi kumuimba. Kama anakukera si Umpotezee? Ona mpaka mistar ya Verse zake mmezishika. Acheni Unafiki....
 
Sijui hata mmekasirika nini? Naona kama hamkumwelewa shettah kasema nini?

Nafikiri huyu aliyeleta uzi ndio kauleta kichonganishi hasa kwa heading aliyotumia, heading inasema "sina mpango wa kufanyakazi na alikiba" wakati kwenye kontent kaandika "sifikirii kufanya kazi na alikiba kwa sasa", yaani ni full uchonganishi....
 
Ha ha ha haaaa... Wabongo bhana. Mnajifanya mnamchukia wakat kutwa vinywan hamuishi kumuimba. Kama anakukera si Umpotezee? Ona mpaka mistar ya Verse zake mmezishika. Acheni Unafiki....

mi sheta nilikua nampenda ila leo kanikrra
japo alikua anasafiria nyota za watu
 
Ha ha ha haaaa... Wabongo bhana. Mnajifanya mnamchukia wakat kutwa vinywan hamuishi kumuimba. Kama anakukera si Umpotezee? Ona mpaka mistar ya Verse zake mmezishika. Acheni Unafiki....

Kwan nyimbo zake si hua tunazisikia kwan hua anaimba kimya kimya,neno baba kayera nalo umeona ni mistariiiii
 
Huyu jamaa niliskia ni mamkwe wa kova, ndio mana wamefanana macho!
 
Back
Top Bottom