Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

umemchukia kwa kilichoandikwa hapa kwenye huu uzi ua ulimsikia akisema. okey tufanye ni kweli amesema kuna tatizo??? so kwa vile kiba anajua ndio kila mtu amshobokee??? ndio kiba ni mkubwa msanii mdogo akisema hana mpango wa kufanya nae kazi ni dhambi???? commmon guys acheni ushabiki maandazi, mpaka mnaonekana limbukeni sasa.

ulimbukeni wa kwangu mimi nilivyoanza kumpenda wala sikushauriwa na mtu nilimpenda mwenyewe binafsi
na alivyonikera mimi wala sihitaji ushauri wako
sawa dada?!!!
kila mtu na mtazamo wake
na unajua maana ya kunikera lakini au waandika tu kwa kua nimeandika hvyoo
kwani kukerekwa ndo kumchukia mtu
dada vp kwani heeee
sio lazima tufanane mitazamo km vidole so please km vp nipotezeee kimtindo
 
Haswaaa!!ushabiki maandazi mtau ukishushia na chai ya motoooo kama iyo ulotoa hapo juu!!Hujamlazimisha mtu na hujamchukia mtu!!jaman kunya anye kuku akinya bata kaharisha why!!watuwache miaka mia nane!!
 
WRONG huu uzi si wa kiba ni wa sheta nyie mnaojiita mashabiki wa kiba ndio mapovu yanawatoka kisa sheta sema hafikirii kufanya collabo na kiba wala msanii yoyote wa tz kwa sasa kwani anakollabo nyingi. mnaanza kutunga uongo wenu mwiiingi ili tu mpate sababu ya kumstress sheta.

Kiba katajwa ndio maana tumekuja mama....hatuvamii bila sababu za msingi...sisi sio nyie mnaovamia hadi special thread ya King Kiba fans
 
uzi wa sheta katajwa sheta na mkewe hapa?
wao wavamia mauzi uzi mradi tu waonekane na kupenda uswahili mwingiiii
sijui wameumbwaje kkkaaah
 
Haswaaa!!ushabiki maandazi mtau ukishushia na chai ya motoooo kama iyo ulotoa hapo juu!!Hujamlazimisha mtu na hujamchukia mtu!!jaman kunya anye kuku akinya bata kaharisha why!!watuwache miaka mia nane!!

kuna mijtu mingine my dear nawatupia kwenye dustin tuuuu
hadhi yao toilet paper!!!!!
 
uzi wa sheta katajwa sheta na mkewe hapa?
wao wavamia mauzi uzi mradi tu waonekane na kupenda uswahili mwingiiii
sijui wameumbwaje kkkaaah

Nimeshangaa kwa kweli...sijui wamesahau wanavyojitoaga fahamu kuvamia yasiyowahusu???
 
wanajitoa fahamu na kupenda ligi za ajabu ajabu kutafta umaarufu na fake id's
halllllllooooooooooooooowwwwwwwww
 
ulimbukeni wa kwangu mimi nilivyoanza kumpenda wala sikushauriwa na mtu nilimpenda mwenyewe binafsi
na alivyonikera mimi wala sihitaji ushauri wako
sawa dada?!!!
kila mtu na mtazamo wake
na unajua maana ya kunikera lakini au waandika tu kwa kua nimeandika hvyoo
kwani kukerekwa ndo kumchukia mtu
dada vp kwani heeee
sio lazima tufanane mitazamo km vidole so please km vp nipotezeee kimtindo

mzaramo mzaramo tuuu pyeeeeeee!!! maneno mengi utazani umemeza memory card ya 4 GB. haya basi lamba karata mchezo uendeleee.
 
mzaramo mzaramo tuuu pyeeeeeee!!! Maneno mengi utazani umemeza memory card ya 4 gb. Haya basi lamba karata mchezo uendeleee.

huna lolote weweeeee....!!!
Uzaramo hapa umeingiaje!!!
Kati yangu na wewe nani mzaramo!!!
Pole sana kwa kushindwa hoja
unakimbilia kwenye ukabila!!!
unajichukiaje labda yaani mpaka ujione wee so specialy.?!!
hunijui sikujui tumekutana kimjinimjini tu...!!!
ungekua wa hadhi unayoitaka ungeenda great thinkers kuleee au jamii intelligence!!
mshukuru sana lowassa na shule za kata sasa hivi ungekua mbwinde unalea sijui watoto sita!!
 
Kiba katajwa ndio maana tumekuja mama....hatuvamii bila sababu za msingi...sisi sio nyie mnaovamia hadi special thread ya King Kiba fans

heheheeeiyaaaa kutajwa kiba tuu adrenaline inamwagika???? kiiiruuuu!!! lazima BP ziwaparalyze na dawa hakuna, sheta ndio ameshasema sasa HAFIKIRII KUFANYA COLLABO NA KIBA. inaumajee, fokeni mpaka mzimie hakuna wa kuwamwagia maji, sheta huyuhuyu mnaomjua hamshobokei kiba wala nini. inaudhi lakini.
 
huna lolote weweeeee....!!!
Uzaramo hapa umeingiaje!!!
Kati yangu na wewe nani mzaramo!!!
Pole sana kwa kushindwa hoja
unakimbilia kwenye ukabila!!!
unajichukiaje labda yaani mpaka ujione wee so specialy.?!!
hunijui sikujui tumekutana kimjinimjini tu...!!!
ungekua wa hadhi unayoitaka ungeenda great thinkers kuleee au jamii intelligence!!
mshukuru sana lowassa na shule za kata sasa hivi ungekua mbwinde unalea sijui watoto sita!!

kwi kwi kwiii hivi hujui, shule ya kata ndio iliyoniharibu kunifaulisha masomo ya UMBEYA na kunifelisha yale ya jukwaa ulilolitaja hapo juu, ndio maana nipo hapa.unataka tuijadili mada???? SHETA KASEMA HIVIIII, HAFIKIRIII KUFANYA COLLABO NA KIBA. heheheheee najua haingii kichwani ila ndio kashasema.
 
kibaa anakuumiza nafsi sana dah
pole sana miss shule ya kata
ipo siku utampenda tuuuuu!!!!!
 
samahani eti, kabla ya diamond hajatoboa ulikua haumsikilizi kiba,?

au mchizi kakukosea nini hadi unam hate hivyo?

Mimi sina team hapo!!
 
tatizo hukutegeme ht kufalu kata kufeli lazima ufeli tuu...
umbea sio kigezo cha kufeli
kibaa anakuumiza nafsi sana dah
pole sana miss shule ya kata
ipo siku utampenda tuuuuu!!!!!
labda nikwambie kitu WA MBILI HAVAI MOJA KAMWEEEE
UKO MOJA WENGINE WAPO KENDA
PIGA MSULI NDO MIDA YENYEWE HII KUNA SUP SAWAAA HAYA STUDY NJEMA...!!!
 
ulimbukeni wa kwangu mimi nilivyoanza kumpenda wala sikushauriwa na mtu nilimpenda mwenyewe binafsi
na alivyonikera mimi wala sihitaji ushauri wako
sawa dada?!!!
kila mtu na mtazamo wake
na unajua maana ya kunikera lakini au waandika tu kwa kua nimeandika hvyoo
kwani kukerekwa ndo kumchukia mtu
dada vp kwani heeee
sio lazima tufanane mitazamo km vidole so please km vp nipotezeee kimtindo

gud nyt geniveros mrs kibaz, ooops!! sorry, how can i kosea jamani, kesho tena wangu tukutane jukwaa hilihili la kimbea na kishambenga, mimi mwenzako eti ndilo jukwaa pekee ninalolimudu. wewejee???
 
Last edited by a moderator:
samahani eti, kabla ya diamond hajatoboa ulikua haumsikilizi kiba,?

au mchizi kakukosea nini hadi unam hate hivyo?

Mimi sina team hapo!!

wapi nimesema namchukia kiba??? umeifuatilia hii thread, mimi ninawachamba wale wanaomkashfu sheta simple tuu kisa kusema kuwa hafikirii kufanya kollabo na kiba, were did he went wrong??? so ni lazima kila msanii afanye collabo na kiba au?? kwanza kuna wimbo unaitwa njoo basi kariakoo unaujua?? ni collabo ya nani na nani ile?? sasa mnataka afanye nae collabo ngapi?? sinaga ushabiki maandazi mimi, kuna aliyesema hapa, 'sheta nilikuwa namkubali sana, ila for this thread iliyoandikwa kichonganishi ameapa kumchukia from now, soo mtu wa dizaini hii wewe unamuelewa??? haya go back to all my comment uniquote niliposema namchukia kiba that will be fair for me.
 
tatizo hukutegeme ht kufalu kata kufeli lazima ufeli tuu...
umbea sio kigezo cha kufeli
kibaa anakuumiza nafsi sana dah
pole sana miss shule ya kata
ipo siku utampenda tuuuuu!!!!!
labda nikwambie kitu WA MBILI HAVAI MOJA KAMWEEEE
UKO MOJA WENGINE WAPO KENDA
PIGA MSULI NDO MIDA YENYEWE HII KUNA SUP SAWAAA HAYA STUDY NJEMA...!!!

SIMCHUKIIIII KIBAAAAAAA! ninapinga kumfanya exceptional (sijui nimepatia) si unajua niliposoma?? kila anayeongea kitu against kiba hata kama sio kwa nia mbaya mnatangaza kumchukia rit from there, why protecting kiba too badly, mpaka kila anayemuongelea mumtafsiri negative tuu?? mfyuuuuuu zenu, embu nilale zangu bwana.
 
weeeee acha mbwembwe hizooooo!!!
nani katangaziwa kuchukiwa humu!!
usijishaushaue hapaa!!!alaah mbona watu wanamuongelea na hatumind
tatizo expectations zenu zimeprove failure ndo maana mlijua mwanadsm ndo itapotea ghafla
kutwa kumponda kiba leo unajifanya humchukii hebu unajigeuka hadi maneno yako mwenyewe
nini weweee yaani thread za kiba zinakuuma sana eeeh!!!
sio lazima uingie zipo pia na zile za unaowakubali pia acha roho mbaya weweeee!!!
hayo sio maisha nduguuuuu!!!!
 
yaani vitu vya kiba lazma uponde we nna waswas na uraia wako haki ya mama wabongo hatuko hvyoo
operesheni kimbunga inakuhusu@paula kilaki
duuuhhhh...!!!sijaonaga kabla mtu km wewe mana ht shetani anakuogopa
hakuna aliyemkashifu sheta watu wamempa ukweli hajui kuimba anabebwa na collabo ukubali ukatae
yaani kwa hili ht angeulizwa kufanya collabo na young killer akajibu vile ningeponda maana ye mwenyewe anahtaji msaada pale alipo maiti hai
halafu eti analeta jeuri kwa watu wanaosimama wenywe bila kusimamiwa
tusingemjua sheta bila bele9,bila duly na diamond huo ndo ukweli
ila leo namjua best naso peke yake,young dee,dogo slay nk
 
Amesema yeye hataki tena kumshirikisha MTU kwenye ngoma zake ila kama kuna msanii anataka collabo kwake atamsaidia bila shida!!

haya ally kiba ,hemed ,mavoko nendeni mkaombe collabo

@aione Muuza Sura

Credit to Bongo five
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom