Shetta siyo mtu wa mchezo mchezo amshika makalio Snura mbele za watu

Shetta siyo mtu wa mchezo mchezo amshika makalio Snura mbele za watu

Lete ubuyu hance bana mbona na wao wanasoma [emoji28][emoji28]wangekua hawapendi wangeenda siasani umbea hauna mwanamke wala mwanaume
 
Hii fasheni hii ya kuacha fani asilia na kuiga mambo ya phonerotica ili kutafuta kick yatawadidimiza wengi
Nilidhani haya nayaona pekeangu.
Amakweli, dunia ya sasa imevaa gagulo
 
Ila mkuu mbona wanaoanzisha mada jukwaa hili wapo wengi sana ,kama vile Brave one, Screpa,Msaga Sumu, na wengineo wenye ID za kiume mbona haujawasema??

Kwa hiyo nikileta habari za Magufuli na Mbowe ndo mtu unakuwa mwanaume? Ila ukileta za diamond na Alikiba unakuwa wa kike??


Duuuh bhasi mororooo
Badili avatar weka ya kimbea, hiyo uliyoweka haifai kuongelea mambo haya ina hadhi kuliko haya unayoyaongea
 
Back
Top Bottom