Umenikumbusha ule wimbo wa NayMbona kwenye ile video ya mitego nae sheta kashikwa makalio!!..naona nae kaja kulipiza kwa snura..kila mtu na mnyonge wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we ndo utakayefata sijui utamfanya nini huyo bibi
Baada ya sheta ni hance mtanashatinimefanyaje tena mkuu??
Ha ha ha ha ,daah Mungu anakuona lakiniBaada ya sheta ni hance mtanashati
Ukisikia shobo ndio hizo,hujaitwa humu kama vipi jikatae nenda jukwaa la siasa ,usituletee mikato yako ya kihanithi humuWa Tanzania haya ndo mambo tunayo ya waza sana.
Duh..eh kumbe wewe na hance mtanashati mnatoka Mbeya!!!?Mbona siku hizi sioni ukaribu wa sheta na diamond au kimenuka?Hebu nisaidie mmbea mwenzangu @hence mtanashati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh..eh kumbe wewe na hance mtanashati mnatoka Mbeya!!!?
Nilidhani haya nayaona pekeangu.Hii fasheni hii ya kuacha fani asilia na kuiga mambo ya phonerotica ili kutafuta kick yatawadidimiza wengi
mkuu hii industry nayo upoHii fasheni hii ya kuacha fani asilia na kuiga mambo ya phonerotica ili kutafuta kick yatawadidimiza wengi
Nauku huwa unafika Mkuu....Hii fasheni hii ya kuacha fani asilia na kuiga mambo ya phonerotica ili kutafuta kick yatawadidimiza wengi
HahaaaaHahaahaha Mwakikotini Sio mtu wa mchezo mchezo
Badili avatar weka ya kimbea, hiyo uliyoweka haifai kuongelea mambo haya ina hadhi kuliko haya unayoyaongeaIla mkuu mbona wanaoanzisha mada jukwaa hili wapo wengi sana ,kama vile Brave one, Screpa,Msaga Sumu, na wengineo wenye ID za kiume mbona haujawasema??
Kwa hiyo nikileta habari za Magufuli na Mbowe ndo mtu unakuwa mwanaume? Ila ukileta za diamond na Alikiba unakuwa wa kike??
Duuuh bhasi mororooo
Sawa nimekuelewaBadili avatar weka ya kimbea, hiyo uliyoweka haifai kuongelea mambo haya ina hadhi kuliko haya unayoyaongea