Kuna tetesi za uhakika kuwa ........ Mwenye uhakika amwage mambo hapa.
Sipendi kuona watu wanaokataliwa na CCM na kubaki bila jinsi ndio wanakuwa wagombea wa CHADEMA. Naelewa kuna temptation kwa CHADEMA kuwachukua kwa sababu wana name recognition, lakini naweza kumsikia Makamba akisema "Upinzani hawna kitu, wanangojea makombo ya CCM" na katika hili atakuwa right.
Kama hii habari ni kweli, hapa ninachoona ni kwamba Shibuda anataka ubunge kwa hila zote, na wala hajali siasa za vyama. Jambo la hatari sana hili.
Hamna kumpa ugombea ubunge wa CHADEMA huyu. Kuna watu wako CHADEMA miaka yote viongozi wa wilaya, wamejenga uanachama, halafu leo mtu atoke CCM mara moja apewe ugombea ubunge? Hata maji ya kijani hayajamuisha mwilini? Hii itakuwa mbaya sana kwa party morale, unles hao watu wa CHADEMA wa wilayani humo nao ni stooges tu wanaofanya siasa za hero worship and stongmen seeking.
Piga chini Shibuda, from presidential ambitions to no constituency. That's what you get for chickening on Kikwete and having no principle.
Natamani JF members wangejaliwa kusoma post yako hii! Hoja nzuri sana. Wapigwe chini wote wonderers wa ubunge, hawajali sera za chama, wanajali wapi wanaweza kwenda kujibanza na kubahatisha ubungeSipendi kuona watu wanaokataliwa na CCM na kubaki bila jinsi ndio wanakuwa wagombea wa CHADEMA. Naelewa kuna temptation kwa CHADEMA kuwachukua kwa sababu wana name recognition, lakini naweza kumsikia Makamba akisema "Upinzani hawna kitu, wanangojea makombo ya CCM" na katika hili atakuwa right.
Kama hii habari ni kweli, hapa ninachoona ni kwamba Shibuda anataka ubunge kwa hila zote, na wala hajali siasa za vyama. Jambo la hatari sana hili.
Hamna kumpa ugombea ubunge wa CHADEMA huyu. Kuna watu wako CHADEMA miaka yote viongozi wa wilaya, wamejenga uanachama, halafu leo mtu atoke CCM mara moja apewe ugombea ubunge? Hata maji ya kijani hayajamuisha mwilini? Hii itakuwa mbaya sana kwa party morale, unles hao watu wa CHADEMA wa wilayani humo nao ni stooges tu wanaofanya siasa za hero worship and stongmen seeking.
Piga chini Shibuda, from presidential ambitions to no constituency. That's what you get for chickening on Kikwete and having no principle.
Ni makosa kuchagua mbunge kwa misingi ya chama achaguliwe kwa uwezo wake hata kama ni mgombea binafsi.Sipendi kuona watu wanaokataliwa na CCM na kubaki bila jinsi ndio wanakuwa wagombea wa CHADEMA. Naelewa kuna temptation kwa CHADEMA kuwachukua kwa sababu wana name recognition, lakini naweza kumsikia Makamba akisema "Upinzani hawna kitu, wanangojea makombo ya CCM" na katika hili atakuwa right.
Kama hii habari ni kweli, hapa ninachoona ni kwamba Shibuda anataka ubunge kwa hila zote, na wala hajali siasa za vyama. Jambo la hatari sana hili.
Hamna kumpa ugombea ubunge wa CHADEMA huyu. Kuna watu wako CHADEMA miaka yote viongozi wa wilaya, wamejenga uanachama, halafu leo mtu atoke CCM mara moja apewe ugombea ubunge? Hata maji ya kijani hayajamuisha mwilini? Hii itakuwa mbaya sana kwa party morale, unles hao watu wa CHADEMA wa wilayani humo nao ni stooges tu wanaofanya siasa za hero worship and stongmen seeking.
Piga chini Shibuda, from presidential ambitions to no constituency. That's what you get for chickening on Kikwete and having no principle.
Ni makosa kuchagua mbunge kwa misingi ya chama achaguliwe kwa uwezo wake hata kama ni mgombea binafsi.
Inategemea umeshindwa kivipi kura za maoni. Kama umefanyiwa zengwe, wakati wewe ni kipenzi cha wanachama na wananchi, ni bora kuhama chama na wafuasi wako kama alivyofanya Slaa na kugombea nafasi hiyo hiyo kupitia chama kipya.
Two words for you; Joe LiebermanNakubaliana na Kiranga. Hauwezi kushindwa safari za ubunge leo hii halafu kesho asubuhi uka hama chama ili ugombee ubunge huo huo. It's non sense.
Kwa bongo haya mambo ya falsafa bado sana. Unaweza kuniambia vyama vya siasa Tanzania ni vya mrengo gani?Vyama vya siasa vina falsafa, sera na taswira tofauti. Principles za vyama vingi haviendani na nyingi hazi fungamani. Huwezi kuniambia leo hii una kubaliana na sera na falsafa za CCM halafu ghafla kesho una kubaliana na sera falsafa za chama kingine.
Mfano mbovu huu.Ni sawa sawa na umpende mwananmke/mwanaume halafu leo hii aachane na wewe halafu kesho tu ukawa na mpenzi mwingine. It will take time, you will move on lakini huku kubadilisha "mapenzi" ghalfa ndiyo inayo tia mashaka.
Hauwezi kushindwa safari za ubunge leo hii halafu kesho asubuhi uka hama chama ili ugombee ubunge huo huo.