chibhitoke
Member
- Jun 1, 2010
- 60
- 13
Well said Luteni. Tena aligeuka baada ya CC kukata jina lake. Leo ni hero wetu!
Kuna sehemu kama Wilaya za Muheza/ Mwanga/ Same huko viongozi wa Chadema laah! yaani hata mwenyewe anaona aibu kugombea, sasa kama yupo ''shibuda'' atakayepeperusha bendera kuna tatizo gani. Lengo kuwe na wapinzani wengi bungeni kwanza.
Mi nasema Selelii, Aloyce, Shibuda wakihamia Chadema poa tu ,vumbi lao tunalijua jamani! mnyonge mnyongeni haki...............
Mkuu Kitila,
Hata kuzaliwa upya au kuokoka huja kwa kusikia neno, huyu neno kasikia lini. Hana tofauti na mtu anayehama dhehebu kwa vile kakosa cheo. Naheshimu uhuru wa mtu kuhama chama apendavyo ila kwa huyu jamaa nina wasiwasi naye. Je ana kitu cha ziada ambacho CHADEMA mtafaidika nacho kulinganisha na makombora ya Makamba kuwa huyo ni ''matapishi'' ya CCM. Kwa ufupi huyu jamaa hana staha ya kuwa CHADEMA labda kama chama chenu mmekuwa kokoro-sijui nimeandika sawa- lile linalovua samaki na matakataka mengine
1. Be serious mkuu. You can not honestly use Joe Lieberman as an example. Kwanza kwa Marekani if you know anything about political science (which I'm sure you do) utajua kwama Marekani wana what is called 'weak party system". Meaning kwamba hamna mfugamano wa kichama. Hata kadi za uanachama hazi exist. Pili Joe Lieberman baaada ya kushindwa primaries za Democrats aka gombea kama independent na haku hama chama. Hadi sasa mara nyingi huwa ana vote on the side of the Democrats. So utamlinganishaje Lierberman na SHibuda? Mfano mbovu huu.
2. You are confusing philosophy and political ideology. Una taka nikuambie kama vyama vya Tanzania ni left or right wakati unajua fika kwamba left, right, conservative & liberal ni a western phenomenon na haiz exist everywhere in the world. Again usi jaribu kucompare kila kitu cha Marekani na huku. ZIngatia we have different political systems na ndiyo maana ukatoa mfano wa Lieberman bila kufikiria kwamba he ran as an independent na Tanzania hakuna wagombea binafsi.
Ha ha ha,
NN bana, hiyo case naona umeishikia bango... lol
Naona inabidi hata case ya Dr Masau (siko shua na jina) irudi hapa maana Kuhani yupo hapa kwa jina lingine.
Mkuu Kitila,
Hata kuzaliwa upya au kuokoka huja kwa kusikia neno, huyu neno kasikia lini. Hana tofauti na mtu anayehama dhehebu kwa vile kakosa cheo. Naheshimu uhuru wa mtu kuhama chama apendavyo ila kwa huyu jamaa nina wasiwasi naye. Je ana kitu cha ziada ambacho CHADEMA mtafaidika nacho kulinganisha na makombora ya Makamba kuwa huyo ni ''matapishi'' ya CCM. Kwa ufupi huyu jamaa hana staha ya kuwa CHADEMA labda kama chama chenu mmekuwa kokoro-sijui nimeandika sawa- lile linalovua samaki na matakataka mengine
Wala tusiende Marekani. Ni mbali mno huko. Mrema mbona alikuwa CCM na akabadili vyama, akagombea uraisi akashindwa, akagombea ubunge kupitia NCCR-Mageuzi akashinda. Au nimekosea?
Exactly my point, Mrema yuko wapi sasa baada ya kubadili vyama kama nguo ? Karudi CCM in all but name.
Juzi alikuwa ana dance kama a street gipsy kwa Kikwete, hamna hata dignity kwamba huyu bwana kuna wakati bado kidogo awe rais wetu.
Sasa unataka kutengeneza Mrema mwingine kwa Shibuda? Is this what we are aiming at? Kushinda chaguzi bila kujua tunataka kufanya nini?
Kwani kuna tatizo gani kama akipigiwa kura na wanachadema na akashinda?
Kuhamia CHADEMA sio tatizo, issue ipo kwenye kushinda pia... muulize Mpendazoe. Hakuna sheria yoyote inayozuia watu kujiunga na chama. Uhalisia wao utapimwa kadri muda unavyoendelea.
Kuhusu matapishi, chadema waliambiwa the same things wakati wanamkubali Slaa.
Chama cha mafisadi mmeumia kweli kwa rafu mlizofanya na sasa watu wanawakimbia.
Exactly my point, Mrema yuko wapi sasa baada ya kubadili vyama kama nguo ? Karudi CCM in all but name.
Juzi alikuwa ana dance kama a street gipsy kwa Kikwete, hamna hata dignity kwamba huyu bwana kuna wakati bado kidogo awe rais wetu.
Sasa unataka kutengeneza Mrema mwingine kwa Shibuda? Is this what we are aiming at? Kushinda chaguzi bila kujua tunataka kufanya nini?
An electocracy and bragging rights due to more palriamentary seat but no substance ?
Tatizo ni kwamba anawea kushinda kwa tiketi ya CHADEMA wakati moyoni bado CCM, akienda mjengoni anapata talks na Kingunge Ngombare Mwiru, Kingunge anatoa charms zake za uzoefu wa kuwa a CCM old fox, namwambia
"listen son, that Maswa primary business is some bullshyt shameful thing, but I always had faith in you, and fvck them CHADEMA suckers, they need you than you need them, now here is the story, our agenda is blah blah blah, pay some lip service to CHADEMA, but when it comes down to the wire in the Quorum, always vote with CCM, and we will take better care of you than we did when you were in CCM, you got some college age kids? We have a special fund for that, pick your country, US, UK Malaysia etc, heres my card, think about it, give me a buzz anytime"
Mchezo umeisha, mnashangaa Shibuda anapiga kelele, lakini mkihesabu kura za wapinzani bungeni kuna nyingine zina miss.
This is a very real scenario. Think about it hard before giving Shibuda the nomination.
Wewe subiri tu...niko kaa mtoto mdogo mie...sisahaugi kitu. Dawa ya Tindikali ipo inachemka....you just wait....
Wana chadema wa huko watampima na kumuona kama anafaa au la.
Wao ndio wenye maamuzi ya mwisho. Wakiona anafaa watampigia kura na kama hafai, atakuwa tu kama Mpendazoe.
Mkuu Kiranga, hebu tujiulize ukimwacha John Mnyika ninani mwingine anategemea kuchukua jimbo Dar es salaam. Hata kule kigamboni ni kuwa ukishinda CCM maoni basi umeshakuwa mbunge. Mimi naamini ukimwacha '' shibuda type'' akatoa changamoto ndio mwanzo mzuri, akiwa mbunge ni nzuri zaidi. Ninachokataa ni ''makapi'' kutoka CCM kuja na kupewa uongozi wa chama. Mkuu it is too late chadema kurekebisha udhaifu, tu deal na kile kitakachotupa results hata kama si bestNaelewa kuna issue nzima ya name recognitiona and all kama nilivyosema hapo juu.
Lakini ukiniambia CHADEMA haina wagombea unaniambia udhaifu wa CHADEMA ambao CHADEMA inatakiwa kuuondoa kutoka ndani ya chama.
Mkiwakumbatia sana hawa rejects wa CCM kesho keshokutwa CCM watawafanyia bonge la takeover ya chama, kama James Mapalala alivyofanyiwa CUF.
After all, who is to say kwamba hawawafanyii kazi CCM? Mnachukua mtu hata bila probation period mnataka kumpa ugombea ubunge?
Kiranga,
Kufeli kwa Mrema sio tu pekee (only) kwa vile alibadili vyama kama nguo. Kuna wengi ambao hawajabadili vyama lakini sasa hivi hawatamaniki (ningetaja mwanaccm nguli mmoja hapa lakini sitaki kuanzisha ugomvi nisioutaka).
Kwa kuwa na probation period hii, Shibuda na wagombea wengine kama yeye watapata muda wa kukijua chama vizuri zaidi, na chama kitapata muda kuwajua kina Shibuda vizuri zaidi. Kwa hiyo Shibuda akiona chama hakifai anaweza kuondoka, na chama kikiona Shibuda hafai kinaweza kumkataa.
Mkuu Kiranga, hebu tujiulize ukimwacha John Mnyika ninani mwingine anategemea kuchukua jimbo Dar es salaam. Hata kule kigamboni ni kuwa ukishinda CCM maoni basi umeshakuwa mbunge. Mimi naamini ukimwacha '' shibuda type'' akatoa changamoto ndio mwanzo mzuri, akiwa mbunge ni nzuri zaidi. Ninachokataa ni ''makapi'' kutoka CCM kuja na kupewa uongozi wa chama. Mkuu it is too late chadema kurekebisha udhaifu, tu deal na kile kitakachotupa results hata kama si best
Probation period kwa Shibuda ya nini bana? Jamaa ni seasoned politician na hahitaji probation period....angekuwa a political neophyte kama akina Regia hapo labda ningeelewa...lakini Shibuda....for what man?
Hapo unaongelea scenario ambayo haijatokea bado.
Mimi nilitegemea sana kuwa Mpendazoe atashinda kwenye primary ya chadema lakini nilishangazwa sana na matokeo. Wakati mwingine tunawadharau sana wapiga kura Tanzania kuliko wanavyostahili. Wana chadema wa huko watampima na kumuona kama anafaa au la.
Wao ndio wenye maamuzi ya mwisho. Wakiona anafaa watampigia kura na kama hafai, atakuwa tu kama Mpendazoe.