Niliona hilo na ninaongea nawe nikijua kuwa unaongea kutoka kwenye extreme point of view.
Yup, ninaelewa vizuri sana na naona kwenye paragraph yako inayofuatia umejibu nilichotaka kuandika.
Association .... yup, even political association ni haki/uhuru wa haki kwa mwananchi wa Tanzania
Hapa ndipo extreme angle yako inavyoshindwa (as always). Hakuna aliyesema kuwa wewe uende kulazimisha kujiunga na chama (kama ni mie, niwekee quote hiyo na so far sijaedit maandishi yangu so itakuwa hapa hapa]. Kilichosemwa ni kuwa, wewe una haki ya kikatiba ya kujiunga na chama chochote unachotaka.
Hakuna sheria ya nchi inayokuzuia kufanya hivyo.
1. kwa sababu waendesha uchaguzi (katiba ya Tanzania?) hawaruhusu wagombea binafsi
2. Nipe mantiki ya swali lako, linahusiana vipi na kinachoongelewa? Je unajaribu kupinga kuwa sio vizuri kwa wanachama wa chadema kupewa nafasi ya kuchagua viongozi wanaowataka (na mimi naenda kwenye extreme kama wewe hapa)?
Hakuna sheria ya nchi inayomzuia Kikwete kufisadi nchi kama akitaka,does that make it right kwa Kiwete kufisadi.
Ni lazima tuangalie zaidi ya sheria, tuangalie principles.Kama sheria tu zingekuwa zinatosha tusingehitaji kuzibadilisha, tusingehitaji bunge.
Ukisema najaribu kupinga kwamba wanachama wa CHADEMA kupewa nafasi ya kumchagua any Tom Dick and Harry na wewe utakuwa umeend the other extreme, which is fine by my books but not yours, so make up your mind now, are extremes OK or not ?
Ukiliangalia hili kwa mtazamo wa extremes mbili, moja hamna vyama kila mtu anagombea directly, au pili viongozi wa CHADEMA (na vyama vingine) wanaamua mgombea wa ubunge ni nani, no primaries, unaweza kusema extremes zote ni mbaya.
Moja iko almost kama anarchy, kila mtu anampigia kila mtu anayemtaka, vurugu mechi tupu.
Nyingine ni Stalinistic totalitarianism, vyama ndivyo vinachagua wabunge, wananchi wanapewa wabunge ambao vyama vishawachagua na hawana real choice, unaweza ku extend hii extreme kwa kusema chama tawala kikishinda popular vote ya presidential elections kpate mandate ya kuteua tu wabunge wote, hamna kupigia kura wabunge, usultani, next thing utasema hamna haja ya kupiga kura, Kikwete Sultani na atachagua sultani atakayemfuata, next thing you know anamchagua Ridhiwani and so on. Hatuitaki anarchu wala monarchy wala Totalitariam Tsars.
As in most cases, the middle ground comes to the rescue.Vyama viwe na role ya kuchuja watu, hatuwezi kumpa every drug addict nafasi ya kugombea ubunge.Hii ndiyo point ya kuuliza "role ya vyama ni nini sasa?". Roles za vyama ni pamoja kuchuja wagombea potential katika a very open and democratic way within the party.
Mfano wa masharti
Mgombea ubunge awe mwanachama wa chama kwa angalau miezi mitatu, ili tujue kwamba huyu kaja kwa ajili ya principles za chama na si mamluki aliyetoswa na CCM sasa anakuja kutafuta ubunge tu chamani kwetu.Ili kusudi tumjue kama ana hila, anatumiwa kama Jasusi wa chama alichotoka ama la.Ili tuweze kumfunza sera na manifesto za chama, si tunachukua jitu limetoka CCM lina siasa za ujamaa na kujitegemea, dakika mbili tunalivisha magwanda ya CHADEMA, siasa yetu ubepari, tunaliweka jukwaani linaanza kuongea ujamaa na kujitegemea, etc tec tec.
Hii ndiyo role ya chama, na as long as inatumika vizuri, hamna abuse, as long as the Shibudas of this world go to CHADEMA for the principles, and not because they are greedy to get back in parliament by any means, things should be fine.
The end message here is balance, the middle way, nothing extreme as you suggested initially.