Shibuda azua balaa! Awaambia viongozi wa Dini kuacha unafiki na kujipendekeza

Kuendelea kuamini kuwa CCM inapendwa Sana Ni kujidanganya wenyewe pia. Kudhani upinzani hauna nguvu Tanzania Ni kujidanganya pia. Wapinzani kudhani tume ya uchaguzi itawatendea haki Ni kujipa matumaini ya hovyo hovyo pia
 
Nafiki kweli hili zee chumia tumbo Kama mwenzie Lenatus Mkinga sijui kapotelea wapi siku hizi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…