Shibuda: mimi ni muumini wa serikali mbili, na haziepukiki

Shibuda: mimi ni muumini wa serikali mbili, na haziepukiki

Serikali Mbili hazihepukiki,,, " Mimi ni Muumini wa Serikali 2 hivyo kamwe sitaweza kuusaliti msimamo na mtazamo wangu juu ya Serikali mbili na Muungano wetu" - Mhe JOHN M. SHIBUDA (MB) Kupitia CHADEMA ... Akiongea juzi asubuhi katika kipindi cha JAMBO TANZANIA.

Source: tbc1

Sasa hata kama ni muumini wa serikali2, rasimu inasema serikali3, akitaka 2 rasimu ivunjwe, iundwe tume mpya ya maoni na bunge hilo livunjwe, na maoni yasiwe ya wananchi, yawe ya wanasiasa na mawazo yao mufilisi. Tume zote, wananchi wametaka serikali3, hizo 2 siyo maoni ya wananchi!
 
Back
Top Bottom