Shibuda: Rais Magufuli hakufurahishwa na yaliyotendeka kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Uchaguzi Mkuu uwe wa Haki na Usawa

Kabla ya uchaguzi huo uchwara maWEO wote si waliitwa Ikulu ili kujengewa uwezo, kupewa mikakati ya kutenda unajisi ule!
 
NyaMBAFU!! That's all I can say
 
Yaani hawa wasukuma wanadhani kila mtu hana akili. Alipokuwa Tabora njiani kwenda Chato hotuba aliyoitoa pale Nzega tunayo. Au Shibuda anadhani hatuna kumbukumbu?

Hivi bado kuna mtu anamsikiliza Shibuda?
 
Shibuda na Lyatonga hawapishani hivyo hapa siwezi kumuamini hata robo na msemea Rais mwenye Taasisi na vyombo lukuki vyakumsemea shibuda acha huu usanii.
 
Shibuda ameongea kwa niaba ya Rais?
Kama hakufurahishwa mbona hakukemea?
Kama kweli aliumizwa na uchaguzi ule wa serikali za mitaa,ni kwanini hadi Leo hajamtumbua Waziri wa Tamisemi, Suleiman Jaffo, ambaye uchaguzi ule ndiye aliyeusimamia?

Huyo Shibuda aache uzushi na unafiki wake katika suala zito kama hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…