nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
Aibu na Uoga mkuu ndo sababu kubwa na hakuna kitu kingine. Siku aibu na uoga ukiondoka basi itawezekana.Nimekuwa nikiuliza watu wengi maswali kuhusu kujiajiri na kuajiriwa....most of the answers imekuwa kujiajiri ndio "mchongo",sasa mbona sioni jitihada za watu kutaka kujiajiri.....halafu inakuwaje watu wanaongea sana kuliko vitendo!?
Wanaishia kuwasifia waliojiajir wakati wao wanakazana kuomba kazi kwenye makampuni na serikalini....
Hapa nataka kupata mawazo yenu hivi ni nini kinaleta shida ni uwoga wa maisha au ni theories tu zimewajenga kama elimu yetu ilivyo....imewajaza uoga badala ya kuwapa uhuru wa kujitegemea.....
by emma mjasiriamali
Inaweza ikawa sababu...ila nahisi hasa uwoga,wanahisi hawawez kusurvive wenyewe kwa njia nyingineAibu na Uoga mkuu ndo sababu kubwa na hakuna kitu kingine. Siku aibu na uoga ukiondoka basi itawezekana.
Watu sisi ni waogo sana asikuambie mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes lazima kujitoa sana, hakuna sehemu ngumu kama hiyo. hapo hakuna cha mwenye Degree wala mwenye Masters wala mwenye Phd wala ProfesaKujiajiri na kuacha kazi za kuajiliwa inabidi ujitoe ufahamu kwanza chief....la sivyo ndo wanabakia kusema jiajirini wakati wao wameajiliwa.
Wanasema anza na ulichonachoShida mtonyo,yaani kianzio cha kujiajiri..
Unaanza na Nini wakati huna kitu???[emoji15]Wanasema anza na ulichonacho
Nguvu nazo mtu atakosa.!!Unaanza na Nini wakati huna kitu???[emoji15]
Hili umesema wewe,sio Mimi. Ukikutana na mtu mwenye mipango minene kama Mimi hsiwezi toa sababu kama hii.Nguvu nazo mtu atakosa.!!
Kwa walioajiriwa naweza kukubali kwamba ni uoga ndio tatizo lakini kwa wasio na ajira nadhani ni kukosa mitaji na kutokua tayari kujishusha kufanya kazi zinazoonekana kwamba ni hadhi ya chini ambazo kipato chake kinaweza kuwa kikubwa kuliko hata kwenye ajiraInaweza ikawa sababu...ila nahisi hasa uwoga,wanahisi hawawez kusurvive wenyewe kwa njia nyingine
by emma mjasiriamali
Vizuri sana kama una mipango minene, pia unaweza anzisha "Funding" kulingna na wazo lako,Hili umesema wewe,sio Mimi. Ukikutana na mtu mwenye mipango minene kama Mimi hsiwezi toa sababu kama hii.
Changamoto kubwa kwenye kujiajiri biashara 90% zina chukua muda kusimama na kufaidi matunda,ni chache sana ambazo ukianzisha leo faida unaanza kupata leo.Nimekuwa nikiuliza watu wengi maswali kuhusu kujiajiri na kuajiriwa....most of the answers imekuwa kujiajiri ndio "mchongo",sasa mbona sioni jitihada za watu kutaka kujiajiri.....halafu inakuwaje watu wanaongea sana kuliko vitendo!?
Wanaishia kuwasifia waliojiajir wakati wao wanakazana kuomba kazi kwenye makampuni na serikalini....
Hapa nataka kupata mawazo yenu hivi ni nini kinaleta shida ni uwoga wa maisha au ni theories tu zimewajenga kama elimu yetu ilivyo....imewajaza uoga badala ya kuwapa uhuru wa kujitegemea.....
by emma mjasiriamali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana. Labda njia nyingine,lakini hiyo hapana. Funding kulingana na wazo kivipi?? If nataka kuuza Nguo nafanyaje? Au nataka kuuza viatu?Vizuri sana kama una mipango minene, pia unaweza anzisha "Funding" kulingna na wazo lako,
Anza kuangalia list ya contact zako kuanzia A to Z....wahamasishe. You never know Maserati
Wazo lako linaweza kushawishi kupewa mtaji, mchanganuo wa jinsi utauza hizo nguo/viatu.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana. Labda njia nyingine,lakini hiyo hapana. Funding kulingana na wazo kivipi?? If nataka kuuza Nguo nafanyaje? Au nataka kuuza viatu?
Sijaona Huyo mtu bado. Nikikutana nae nitafurahi sana.Wazo lako linaweza kushawishi kupewa mtaji, mchanganuo wa jinsi utauza hizo nguo/viatu.....
Hujui wengine wana hela lkn hawajui wafanyaje biashara.
Aaaaaaah.!!Sijaona Huyo mtu bado. Nikikutana nae nitafurahi sana.