nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
Nimekuwa nikiuliza watu wengi maswali kuhusu kujiajiri na kuajiriwa....most of the answers imekuwa kujiajiri ndio "mchongo",sasa mbona sioni jitihada za watu kutaka kujiajiri.....halafu inakuwaje watu wanaongea sana kuliko vitendo!?
Wanaishia kuwasifia waliojiajir wakati wao wanakazana kuomba kazi kwenye makampuni na serikalini....
Hapa nataka kupata mawazo yenu hivi ni nini kinaleta shida ni uwoga wa maisha au ni theories tu zimewajenga kama elimu yetu ilivyo....imewajaza uoga badala ya kuwapa uhuru wa kujitegemea.....
by emma mjasiriamali