Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Siku hizi hatuviziani tena njiani kama zamani,maana huko way back ilikuwa kipengele kweli,ukimtaka mrembo ni full misele kitaani kwao,,nakumbuka class mate wangu mmoja tulikuwa tunakaa nae kitaa pale Upanga seaview.
Alinambia unamuona flan ambaye nae ni classmate wetu pia,anakuja kuja huku ujue ananifuata mimi,,yeah hiyo pisi imesimama mwenyewe nimeikosa kwa uzembe wangu,alikuwa ananiambia "je nikinogewa na wewe itakuwaje" nikamwambia utanogewaje na mimi wakati una mtu wako,,dah hilo kosa,,simply ningetakiwa nimwambie ukinogewa na mimi tunagandana yaan ni hivyo tu.
Basi nikafanya mambo yawe mazito na pisi mda sio mrefu sana akakwea mwewe huyo kwa biden,,hiyo ilikuwa intro ya kuanzia mazungumzo yangu.
Kama wewe kweli una mahusiano serious na mtu wako kwanini unatoa namba yako kwa mtu mwingine? Shida inaanzia hapa,,unapotoa namba yako kwa mtu ambaye sio mfanyakazi mwenzako,au mtu ambaye hana sababu nyingine ya kiabiashara zaidi ya mapenzi ujue unampa kiashiria kwamba huenda akakupata.
Na kazi ya namba ni mawasiliano,,sasa inakuwaje pale mtu wako anapo hoji huyu mtu unayewasiliana naye ni nani yako? Au mkoje naye,unaanza kusema huyu mimi simtaki ila ananisumbua tu! How akusumbue alipataje nambo yako kama hukumpa?
Nadhani ifike kipindi tutambue kwamba unapo mpa mtu namba yako ujue tegemea atakutafuta na kukutongoza,kama hivyo ndivyo na huku wajua kabisa una mahusiano ambayo ni seroius huwa unafikiria nini?
Hata kama mtu kapata namba yako kupitia mtu mwingine kama haupo interested utaongea na kumwambia upo na serious relationship hivyo hana nafasi,,bilashaka ataacha kuwasiliana na wewe,ofu kozi najua kuna ving'ang'anizi lakini ukiwa kimya hau reply text zake wala calls zake itafika kipindi ataona anapoteza mda wake tu.
Lakini kama anakucheki halafu unatoa ushirikiano bilashaka mawasiliano yataendelea tu,kwakuwa unapata moyo kwamba huenda siku moja kitaeleweka.
Kwahiyo ikiwa kweli hutaki usumbufu ama upo katika ndoa yako au mahusiano ambayo yana afya nzuri,tafadhali usipende kutoa namba yako ovyo ovyo coz shida itaanzia hapo.
Maisha ndiyo haya haya
Ni hayo tu!