Shida itakuwa nn

mnyama mkal

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
35
Reaction score
12
mapaja na mikono yangu inawasha sana (imeanza tu kwa ghafla) tatizo itakuwa ni kitu gan
 
huo ni kuonyesha jinsi gani kipindi kifupi kijacho utapapasa sana au kunawa mapaja yatasuguriwa sana...
 
mapaja na mikono yangu inawasha sana (imeanza tu kwa ghafla) tatizo itakuwa ni kitu gan
nafikiri unaweza kuwa na tatizo la damu chafu . kwani hata mimi nilikuwa na tatizo hilo nikatumia dawa za kienyeji kusafisha tatizo husika , nafikiri hasa unapotoka kuoga ndiyo hasa tatizo lilikuwa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…