mnyama mkal
Member
- Jan 30, 2014
- 35
- 12
mapaja na mikono yangu inawasha sana (imeanza tu kwa ghafla) tatizo itakuwa ni kitu gan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nafikiri unaweza kuwa na tatizo la damu chafu . kwani hata mimi nilikuwa na tatizo hilo nikatumia dawa za kienyeji kusafisha tatizo husika , nafikiri hasa unapotoka kuoga ndiyo hasa tatizo lilikuwa hapomapaja na mikono yangu inawasha sana (imeanza tu kwa ghafla) tatizo itakuwa ni kitu gan