Shida katika kushusha Windows.

Shida katika kushusha Windows.

Cecil J

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2023
Posts
434
Reaction score
1,024
Naenda moja kwa moja kwenye mada!

Nime-boot flash na kuweka humo Windows 10, baada ya ku-restart na kubonyeza F9 na kupata chagua la USB kila nikiichagua hilo chaguo computer inajirudi sehemu ya Log In.

Shida inaweza kuwa nini?
 
Back
Top Bottom