BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kuna Raia wajinga sana Taifa hili, kutwa nzima utasikia ohoo Mbowe kanunuliwa, Mara Chadema haina mvuto tena mara sijui Lisu ikapanda ikashuka.
Je Upinzani sio Ideology kwa Tanzania ila ni ideology kwa mataifa mengine?
Kule Kenya kuna watu wanaendesha Movement na hawana vyama wala offisi lasimi, kuna BWana mdoho anaitwa Morara Kebaso huyu hana chama ila ana spirit ya Upinzani. Wapo wengi tu wanao endesha movement nje ya vyama.
Anaimplement principal ya kwamba upinzani ni Ideology na wala sio mtu wala Chama. Kenya walisha tambua kabisa upinzani sio Chama wala mtu mmoja mmoja wala ofisi balj ni Spirt.
Tanzania kwa sababu imejaa raia wajinga, waoga, wanao taka wasemewe matatizo yao, wanaamini Upinzania ni mtu, au Chama. wanaamini wamezaliwa ili wasemewe na watewe, wanaamini upinzani ni Bendera na offisi.
Bongo mtu kama Mbowe akipotea akikaa kimya muda fulani utasikia kalambishwa asali. Okay kwa nini asijitokeze mtu mwingine ambeye hajalambiswa asali? au Serikali imelambisha asali raia wote nchi nzima? Upinzania si ni Ideology?
Mbowe hana mvuto kwa nini wenye mvuto wasijitokeze sasa wakati huu na kufanya movement? na kuwa wapinzani halisi wenye mvuto? shida ni nin? Je mbowe kazaliwa kutusemea? Lisu kazaliwa kutusemea?
Mbona Movement nyingi huko Duniani zinanzishwa nje ya vyama vya Upinzani?
Ni Bongo pekee ambayo waamanini Upinzani ni mtu.
Ohoo Zito kaisha nunuliwa kitambo, Oky kwa nini sasa wewe usie nunulika usijitokeze uonyeshe utofauti wa mtu alifika bei na ambaye hajafika bei?Nini kikwazo?