Shida sio CHADEMA, wala Mbowe, shida kuu ni Taifa lilo jaa Raia waoga, wanao subilia kutetewa na kusemewa

Si kweli. Morara ana chama chake kinaitwa Inject. Jamaa ni tapeli kila siku anaomba wananchi wachangie pesa za mafuta ya gari.
 
Nakuomba mhe Mbowe apumzike tu, ili hii midanganyika na michawa ipate shida mpk akili ziamke
 
Sidhani kama kuna mtanzania anahitaji kusemewa zaidi ya kimbelembele cha wanasiasa!
 
Kuna mijamaa na mimama mipambaff sana hapa Tanzania. Unakuta inasema wamezaliwa na CCM!Bloody marabooks!
 
kama kweli wewe ni muerevu,
jitokeze hadharini na hizo dhihaka na kejeli zako kwa waTanzani.

kwanini unaiharibia chadema?
kwahiyo chadema ndio inawaona wananchi ambao ndio wapiga wapikura wake ni wajinga, right?

Jifanye basi na wewe ni Morara Kebaso wa Tanzania na uje mtaani uwaite waTanzania wajinga ili tuone jinsi muerevu ulivyobright kichwani, right?

Morara Kebaso si anawabeza wananchi kwa kuwaita wajinga, si ndio gentleman?🐒
 
Ndio tulipo kuna watu bado kabisa wana imani na mjasiriamali Mbowe, sasa watu kama hao unawasaidia vipi.

Lissu hajawahi kuwa na tofauti yoyote na Mbowe, hata wanapopishana privately hajawahi indirectly kumshambulia.

Mbowe huyu anaeruhusu hakina ‘Lema, et al) kumtukana Lissu tena kwa mambo aliyoongeleq kuhusu Ikungi.

It’s beyond me kwa watu wenye Imani na Mbowe, but then Tanzania kuna watu wanatapeliwa kwenye nyumba za ibada zilizosajiliwa.

Kabisa kuna mtu anaweza amini tapeli Mbowe, anaweza kuwa bora kwa mustakabali wa CDM.

Kuna wasaa lazima tuambiazane ukweli, kama unaweza kumuamini Mbowe, mbele ya Lissu lazima una shida.
 
Umeandika vizuri.

Kumbuka, narehemu Kenyatta alifanya assessment miaka ,mingi iliyopita kuhusu watanzania na akaja na conclusion kuwa waranzania ni sawa na maiti hawawezi milele wakafufuka kudai haki zao.

Tuna key board warriors ambao hata kuchanbua hoja hawawezi zaidi ya kudandia na, kukurupukia hoja.
 
Umesema ukweli kabisa mwamba!
 
Unapokuwa na watu kama waTanzania ambao ni waoga, wewe kama kiongozi lazima uwe na mbinu mbadala, ujue jinsi ya kwenda nao, Madhari wewe umeamua kuwa kiongozi katu usitegemee huruma za wanachi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…