Shida siyo maamuzi ya Kikao, wasiwasi ni kile FIFA na CAF wanawezaifanyia Ligi tu

FIFA wanafanyia kazi "Official Documents" na sio majungu ya mdomoni.
FIFA wanaweza kufanyia kazi Hadi habari zilizo chapishwa mitandaoni na gazetini.
Fuatilia vizuri kuhusu hili.
Limejadiliwa sana kituo kimoja cha habari na kuchambuliwa vyanzo vya taarifa zinazo tumika kufanya hukumu za FIFA. Vimetajwa kwa maandishi.
 
TFF na Bodi yao msituone watanzania mabwege/wajinga/hatujui sheria, la hasha sasa hivi tunawazyumu kwa mbali, mkileta fyuu tunalianziasha,
hapa hatuhitaji busara, TUNATAKA KANUNI ZIONGEE SIO MTU YUKO AIRPORT ANAROPOKA TU. TFF NA BODI NI TAASISI ZA UMMA, MSIJISAHAU SANA, HILO NI KOTI LA KUAZIMWA AT ANY TIME THE OWNER MAY CLAIM FOR HIS/HER OWNERSHIP
KANUNI
 
Vikao bila kanuni havitasaidia kitu.
 
Bodi ya ligi na TFF wameshindwa kutoa majibu ya kimpira nini kifanyike baada ya pale, lazima kuwe na organ nyingine iliyo juu ya TFF itoe nini kifanyike kwa mujibu wa kanuni za mpira na aina ya kosa, hakuna kupepesa macho kwenye hili. Maana akili iliyotumika kuzalisha tatizo haiwezi kutumika tena hiyohiyo kuzalisha suluhu ya tatizo hilo.
 
Hakika
 
Kwaiyo kilichotokea ni Majungu au ni mechi kuhairishwa bila sababu za msingi huku kukiwa na maelezo tena kutoka Bodi ya ligi kuwa ni Ili kuisaidia timu isishuke daraja
Nielewe ninachosema jombaa. FIFA bila kupelekewa documented report.
 
FIFA wanaweza kufanyia kazi Hadi habari zilizo chapishwa mitandaoni na gazetini.
Fuatilia vizuri kuhusu hili.
Limejadiliwa sana kituo kimoja cha habari na kuchambuliwa vyanzo vya taarifa zinazo tumika kufanya hukumu za FIFA. Vimetajwa kwa maandishi.
Mfano?
 
Mahaba ya Simba na yanga ndo yanayoigharimu Ligi yetu....chini ya TFF
 
Goli la mama, team kukodiwa ndege ya serikali kwenda kucheza nje, team kualikwa ikulu kisa kutwaa shanga za shingoni, hii sio siasa ktk michezo?

UBAYA UBWELA.
 
Hii ligi yetu mara ya nne mara ya tano kwa ubora Afrika, tuelewe lipi au hizo ni stori za kupika tu?
 
Goli la mama, team kukodiwa ndege ya serikali kwenda kucheza nje, team kualikwa ikulu kisa kutwaa shanga za shingoni, hii sio siasa ktk michezo?

UBAYA UBWELA.
Motivation ni muhimu kiasi ila politics ndo hazitakiwi
 
FIFA wanaweza kufanyia kazi Hadi habari zilizo chapishwa mitandaoni na gazetini.
Fuatilia vizuri kuhusu hili.
Limejadiliwa sana kituo kimoja cha habari na kuchambuliwa vyanzo vya taarifa zinazo tumika kufanya hukumu za FIFA. Vimetajwa kwa maandishi.
Ni kweli mkuu, wengi hawajui nama hivi vyombo vinafanya kazi
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ acha bhana na wee nanii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ