Shida tunazopata hivi sasa hapa nchini zimesababishwa na mwendazake

Kila mtu atasema lake ila jini la majanga yote ni katiba. Katiba ndio chanzo cha haya na mara zote naikumbuka kauli ya Mh Kikwete wakati Fulani bungeni kwenye muswaada wakupunguza madaraka ya Rais ambao CCM walikataa fanya mabadiliko ila JK kwa ungwana Wake akawaambia "Mimi kama Rais sijaaamua kuitumia hii katiba kuonyesha mamlaka ya Rais ila anaweza kuja mtu kwa katiba hii na nguvu Rais anayo kwa hakika itakuwa shida ila Mimi Sina neno kama mmeamua madaraka ya Rais yabaki kama yalivyo basi sawa". JPM akaitimisha unabii wa JK ama kwa hakika watu walijinyea wakiwa makazini ama kwa hakika watu walivaa pampasi walipo sikia wanaitwa na Mwamba JPM. Baba uipumzishe Roho ya kiumbe wako alie Amua kuonyesha sisi ni wanafiki na unafiki huwo wacha utule. JPM alitekeleza nguvu ya Rais na ndio maana hata miaka miambili hamtoweza mshitaki🙏
 
Mleta mada alikuwa anadinywa na jpm kila siku
 
Huna akili wew na utakuwa nayo mbinguni na duniani
 
Alikuwa mshenzi sana huyu jiwe
Aisee, ata wale wanaomtukuza Mungu anawaona , yule mzee alijaa roho ya ubinafsi , ukatili, katika kivuli cha kujifanya anatetea wanyonge, binafsi mpaka sasa nimekubali bila shaka Mungu analipenda Taifa hili kwa kiwango cha juu sasa wapo ambao wameanza jitoa ufaham ,Mda ni Mwalim
 
Shida ya Magufuli alikuwa mbele ya mda(kama karne moja)..Sera zake alitakiwa zikelezwe mwaka 2100,ndo wangemuelew...Matanzia wenye akili za kawaida hatutokuja kumuelewa hata kidogo,maana uchumi wa Kibepari ni complex sana na unaendeshwa kibabe na kisomi sana,matabaka yanayolengwa (hasa jamii za Kiafrika) ndiyo yanayotegemewa kustawisha uchumi wa Mataifa ya Kibepari kipitia njia haramu za kinyonyaji sna..Ikitokea Kiongozi mwenye maono ya kutaka kujinasua kweny mnyororo huo huondolewa kwa gharama yeyote ile..Usipokuwa na jamii inayojitambua, usalama wa viongozi kariba ya akina Magufuli,Gadafi,Tom Sankara,Paul Kagame nk,ni vigumu sana kwa viongozi kama hao kudumu,huishia Kaburini au Jela...Kumbuka umri wa kujitawala kwa nchi nyingi za kiafrika hautofautiani sana na nchi kama MALAYSIA,INDONESIA,VIETNAM,CHINA, nk lakini leo ukilinganisha uchumi wa Tanganyika na Malaysia ni tofauti ya level ya Mbingu na Ardhi..ukihoji nini shida?,Sisi Waafrika bado tumeshindwa kujitawala Kisiasa hadi kutawala rasilimali zetu halali kabisa,tumeshindwa vibaya mno kiasi kwamba tunaomba wakoloni warudi watujengee madaraja,viwanda,watuchimbie madini,watuendeahee bandari zetu,watulimie mashamba yetu kwa sera za Ubinafsishaji,ubia na uwekezaji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…