kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Nguvu nyingi za miguu alizonazo Aziz zinamsumbua sana katika kukadiria kupiga mpira kutoa pasi na hata kulenga lango, yaani mpira unakwenda kasi mno, unaenda mbali au unapaa juu ya lango hata kama akiugusa kidogo tu.
Hata yeye anashangaa kwanini mpira hauendi pale alipoukusudia. Yeye anaona kama ameupiga kidogo tu lakini kumbe ameupiga sana. Hata watu wa boxing wana shida ya kukadiria kofi au ngumi pale wanapokusudia kutoa adhabu kidogo tu mtu.
Aangalie aina ya mazoezi yake pia kwenye gym.